ofisa
JF-Expert Member
- May 15, 2011
- 4,340
- 4,069
hii inawezekana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii inawezekana
Navara ioLorry ama?
Nissan Navara sawaNavara io
basi nichagulie gali gani zuri...ningependa range rover ila uwkeli ni kwamba sitaweza kumiliki maishni mwangu
corolla, nzuri🤣🤣🤣, number plate ya jina la ukoo, naheshimika, mkuu wa mkoa, VIJANA WA UWT.U
Umetaja Corolla nimejikuta nafurahia sana ,fanya mpango uje uione Corolla yangu Mbeya ilivyo nzuri na pia Corolla pekee mkoa mzima yenye number plate ya jina langu la ukoo.
NB : kupitia gari hii naheshimika mpaka na mkuu wa mkoa mpaka. vijana wa UWT chini ya ofisi ya mkuu wa mkoa .
Hivyo napenda kukupa hongera kwa kuchagua kilicho Bora Ila kukutia moyo kuwa endelea kupambana unaweza kumiliki Corolla 100
haya maneno yenu ya motivational speaker ndio nisiyoyapenda....eti ulimi unaumba, nyoooooo!!!!Ulimi unaumba usijenenee kushindwa Mkuu! Utamiliki zaidi ya Range.
Kipendacho roho Mkuu chukua tu Crown uridhishe nafsi
Mkuu 92 jerrie usalama upo ?,Kijiji ulikotoka hakuna nyumba za matope tajiri wangu?corolla, nzuri🤣🤣🤣, number plate ya jina la ukoo, naheshimika, mkuu wa mkoa, VIJANA WA UWT.
NDIO MAANA MBEYA NYUMBA ZA MATOPE
Gari moja simple,nzuri sana hata isipoongezwa chochote kama urembo bado machoni inavutia.Ona hili ni 27m la mwaka 98View attachment 3063992
Tatizo la hii Harrier na Vanguard siku hizi zimekuwa kama IST zenye bei kubwa zikipita gari kumi zenyewe unakuta ktk hizo kumi zipo tatu hadi ladha inapotea.
HaswaaGari moja simple,nzuri sana hata isipoongezwa chochote kama urembo bado machoni inavutia.
Ila bei sasa ni imesamama hasa!