Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

My dream car InshaaAllah ntanunua ni chuma Ford Everest New Model SUV 7 seater
Wadau sio poa
Picha hii hapaa nawasogezea na nyie mtamani
IMG_7489.jpeg
 
Niwe ndani ya Land cruiser 300 series yoyote ile nimevaa zangu kaunda suit ina kale ka alama ka nembo ya Tanzania alafu mbele kwenye bonnet nimeweka bendera ya Tz upande mmoja, upande mwingine bendera ya chama

What more could i ever wished for myself?
Kada😃😃
 
Kuna wakati naiwaza Amarok ila nawaza ntaweza maintanance expenses kweli?

Nawaza kupata V8 Vx ila najiuliza nasikia hadi taa za mbele zikivunjika tu nitafute milioni moja ya repacement jamani😭😭😭

Si bora niiwaze gari ya kawaida tu kama Toyota Rav4 tu ambayo haitanipa presha halafu niifosi kuwa dream Car😘😘
Its not costly to dream js dream my friend
 
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.

Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.

Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.

View attachment 3063171
Same to me ,nikiokota pesa lazima nivute Range Rover Autobiography kama ya Zamaradi Mketema au Davis Mosha au Chief Godlove.
 
Back
Top Bottom