Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.

Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.

Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.

View attachment 3063171
Lamborghini veneno this is mine
 
TOYOTA HILUX 🇯🇵 / TACOMA 🇺🇸
2024-Toyota-Tacoma-05.jpg
 
Mie siku nikipata crown athlete aisee naona sitalala huo usiku.
Anyways kwa sasa wacha niendelee kufukuza upepo na boxer yangu ila one day yes
Natamani nikuambie chagua nyingine ila nikakumbuka ndiyo chaguo lako😀

Sina sababu ila zimenichosha kuziona barabarani naona vijana wengi walizikimbilia
 
Back
Top Bottom