Right Way In Light
JF-Expert Member
- Jul 27, 2024
- 1,322
- 3,461
Uko vizur chief. Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe 😂😂Range nimeendesha sana ila sasa nasuburi Brabus G Wagon kwa mda nijipige nilipie polepole kwa miaka 3
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko vizur chief. Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe 😂😂Range nimeendesha sana ila sasa nasuburi Brabus G Wagon kwa mda nijipige nilipie polepole kwa miaka 3
Pia uwe chapa kazi sana Kama mimiUko vizur chief. Nikiwa mkubwa nataka niwe kama wewe 😂😂
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula
Toyota Fj CruiseNajua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171
Hahahah acha nichape kaz sema hii age ya floor 3 inanivuruga sometime!!!??😅😅😂Pia uwe chapa kazi sana Kama mimi
Nimefanya kazi miaka 44
Nashukuru Mungu nina afya nzuri na kustaafu kumekaribia sio mbaya nikijifariji kwa kazi nzuri 😄
Usijali kwani afya muhimu sanaHahahah acha nichape kaz sema hii age ya floor 3 inanivuruga sometime!!!??😅😅😂
Mpk sahiv mnalo ?Nimeona 110, nimekumbuka home. Limebaki kubadilishwa rangi tu😂😂 ila lilitusaidia kujifunza, sisi tunaona aibu tunatamani mshua akienda shambani aliache huko . Chuma linarudi kamili. 😂
Dogo hii chuma hata Elon Musk bado hajaweza kuinunua 😆
Naikubali kinomalandrover 110
View attachment 3063532
Usiidharau hiyo chuma, baba yangu alijifunzia kuendesha mwaka 67 siku moja nikajitia mjanja kuiba funguo nikaligonga kwenye ukutaNimeona 110, nimekumbuka home. Limebaki kubadilishwa rangi tu😂😂 ila lilitusaidia kujifunza, sisi tunaona aibu tunatamani mshua akienda shambani aliache huko . Chuma linarudi kamili. 😂
Mwamba anakafunga na komeo kisha kufuriKale kanaitwa mini Cooper kama sijakosea
Ipo na new model yake ila hizi za miaka ya 90s nazipenda sanaNaikubali kinoma
Hapo utanunua hata guta?🤣🤣🤣🤣🤣
Ikifika laki natoa kwanza 30 ya kujipongeza!