Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ikitokea nikapata hata 50mil Tsh mkuu nisiseme uongo, ndoto za kununua gari zinakufa kabisa😅😅😅Kaka hicho kina kinaanzia 370+ kwa trim hiyo niliyoichagua, lakini inaweza kuzidi hadi kufika 450 huko, kuna features nikianza kuzielezea hapa itakua gazeti... Lakini zile editions zengine kama GX, GXR, VX, VXR n.k zinakua chini kidogo!
ya mwaka gani Ma Bless?MazdaCx5
VitzNajua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171
Nimeona 110, nimekumbuka home. Limebaki kubadilishwa rangi tu😂😂 ila lilitusaidia kujifunza, sisi tunaona aibu tunatamani mshua akienda shambani aliache huko . Chuma linarudi kamili. 😂Land rover defender 110
Hiyo anaconda naipata vizuri bei yake inafika 120m jitahidi uimiliki kama vp vuta ya mwaka 2015 bei yake ni kwenye 60m.Kila la heri.Harrier Anaconda ya 2023. Yale macho yananikosha..iwe nyeusiii
Audi Q5 iwe nyeusiii
BMW X5 iwe nyeusiii
Nissan xtrail ya 2024 iwe dark blue 🔥
Naziendesha sana ndotoni hizo gari 🥰
Unaishi dunia gani mkuuHakuna Jimny ya 5 doors.
Huu unyama bei gan mpaka bongo ase?
Carina ti corolla 100 au 110 na premio old model... gari zangu pendwaNajua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171