Ni gari gani ambayo kila unapoiona unajisemea ipo siku nitanunua yangu

Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.

Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.

Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.

View attachment 3063171
hakuna mtu asiyeipenda range rover kwenye hii dunia,hizi gari zina muonekano wa kuvutia na wa kipekee sana...UNIQUE
 
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.

Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.

Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.

View attachment 3063171
Gari ya polisi,jeshi au karandinga ya magereza!
 
images (71).jpeg
 
Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.

Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.

Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.

View attachment 3063171
Lincoln
 
Kaburi
 
hamna yoyote. gar hata iwe nzur vip nikiona ni auto tu. nakuachia nalo. so kwangu mim hata vits RS ni bora kuliko forester auto.ingawa forester zipo manual chuma za kaz. i prefer 1hz
 
Back
Top Bottom