Mass bissness
Member
- Sep 12, 2024
- 15
- 13
Mkuu kati ya hizo 3 ipi ni jiwe haswa
Carina ti corolla 100 au 110 na premio old model... gari zangu pendwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Carina ti corolla 100 au 110 na premio old model... gari zangu pendwa
Unamaanisha Toyota corolla hii hii ya alitumia Babu mpaka mjukuuCarina ti corolla 100 au 110 na premio old model... gari zangu pendwa
Dunia hii ya 2000 kurudi nyuma maana zilitamba sana hizi Tz alafu zikapotea kutokana na Tz kununua zaidi gari za Toyota. Ukute mtaalam hana taarifa kama wame upgrade.Unaishi dunia gani mkuu
Hio hio chiefUnamaanisha Toyota corolla hii hii ya alitumia Babu mpaka mjukuu
Gari ngumu unaendesha mpaka unajishangaa.....ninako kama haka nyuma kamebinuka kidogo (nimei-park nataka niirudishe barabarani kupaka rangi na shock up chuma hiyooo)Hio hio chief
Gari yoyote isiyo kua ya chini Chini in mwijaku voice.Najua Kila mtu ana ndoto ya kuwa na maisha mazuri, kumiliki nyumba nzuri, gari nzuri nk.
Kwa leo tuzungumzie upande wa magari, mimi kwa upande wangu gari ninayoipenda ni Range rover, iwe vogue au sports, wadau wanasema inakula sana mafuta, nami nawaambia gari kula mafuta ni kawaida kwani hakuna gari inayokunywa mtori au supu.
Hii ndiyo gari ya ndoto zangu, ntanunua no matter what.
View attachment 3063171
Zipo, wametoaHakuna Jimny ya 5 doors.