Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Uzi huu utanifaa sana huu kwa Next time
 
Kichefuchefu cha mimba changa ***** 😀
 
Any

Toyota

Toyota

Toyota

Toyota

Toyota

Again

Gari gani kama unaendesha mashine ya kusaga barabarani
 
Lamborghini
 
Kwanza mtoa mada elewa kila gari haikosi changamoto zake hasa kama imetengenezwa na wanadamu.Ukilifahamu hiki utakuta kila myu anapendelea gsri kutokana na matumizi yake au mapenzi yake.Ukimiliki gari yeyote uwe na matarajio ya mapungufu pia.Tutafute pesa tu kuyamudu msgsri yetu. Samahani kwa typing errors
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…