Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Oii hivi vidude vinafanana vitu vingi kasoro badge tu.Kiongozi, hivi kati ya Allex na Runx kuna tofauti yoyote mbali na majina yao?
Kama ipo tofauti yoyote itanisaidia kufanya decision niagize gari ipi muda ukifika.
Sehemu nyingi ukisoma, watasema tofauti ni mbili kuu, mosi ni size na pili ni fuel consumption.
Inasemekana Allex ina nafasi zaidi kuliko Runx, ingawa ni tofauti ndogo sana, na pia Allex kidogo ni rafiki kwenye mafuta kuliko Runx, kidogo sana tofauti. Nilioana mahala 15km/L Allex kwa 12km/L Runx.
Pia, Runx ni sport version ya Corolla wakati Allex ni family car. Kwenye sport hapo utaona suspension za Runx ni tiff wakati Allex iko soft. Pia nahamini Runx ina option ya 1.5L na 1.8L wakati Allex yeye ana 1.5L tu.