Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Tukubaliane kua wengi wetu vipato, utunzaji na kuwa na connection na mafundi wazuri ndio tatizo au kikwazo cha kumiliki aina fulani ya gari.


Kinachofurahisha sisi waswahili unakuta nazungumzia Benz au BMW wakati uwezo wangu ni Starlet au Passo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Haiondoi ukweli kwamba hizo gari ni pasua kichwa
 
Vipi kuhusu mnyama legency kila kukicha watu wana jitahidi kuziuza tena bei ya kawaida Forester xT habari nyingine inapuuliza wese asikwambie mtu

Hili la Forester kwa mfano, hakuna tofauti na Toyota Harrier. Mjini lita1 unapata kilometa7-9 na highway ni kilometa 11 kwa Lita1, na hii ni kwa Subaru na Harrier mfano 2AZ Engine( Harrier cc 2362) ba Subaru iwe non- turbo charged Engine na CC iwe 1990 isiwe cc2500
 
Kama maisha ya kuunga unga nitamkataza haya:

BMW

BMW

BMW

BMW

BMW
aaaa ata mercedes benz , nakumbua kuna mtasha rafiki yanu ainiachia kwa bei ya kutupa , sasa una siu bodaboda ainipitia akang'oa side mirror kuipata ilikuwa mbinde niipelekwa dukani kwa mhindi akaniambia anauza zote mbii laki 8, nilikuja kuipata kurasini wanapochinja magari laka mbili na nusu,
Niliuja kuiuza na kurudi kwenye toyota
Kiufipi ukitaka kununua gari cha msingi ni ufaamu upatikanaji wake wa spare na ulaji wa mafuta
 
Vipi kuhusu mnyama legency kila kukicha watu wana jitahidi kuziuza tena bei ya kawaida Forester xT habari nyingine inapuuliza wese asikwambie mtu
[emoji3][emoji3] et inapuliza
 
Ukitaka yakukute, osha Engine ya Nissan Xtrail, hakika Alternator itakufa hapo hapo na itakupasa ukanunue nyingine. Nissan wamechemsha sana gari zao
Engine ya Gari inasafishwa na povu maalumu. Inakuwa safi kama kitu gani sijui
 
Nimejenga All hamdulillah, umri niliyo nao.
Nimejenga saana, Iringa , Arusha na Dar magomeni na kijitonyama - ya kununua.
Mjengo mwingine upo over90% kigamboni Geza ulole chini.
INSHA ALLAH before october will be done.
Njoo PM kama una pesa uchukue nissan Y62 ,kama huitaki - endelea na maswali.
Bahati mbaya bafili ya kuelemishhana kuhusu magari tunaulizana uwezo wa mtu na mambo binafsi.
We bwana si ulilalamika huna pesa
 
Nissan Liberty ..niliwah kumuona mzee mmoja alihangaika kutafuta CV joint yake Kkoo nzima alikosaa ikabidi aagize toka Dubei ..yaannunaagiza CV joint tu ..kuqmzia hapo nikasema kuna magari hayafai ikiwemo iyo Nissan Liberty
 
Back
Top Bottom