Ni gari gani huwezi kununua Wala kumshauri mwingine anunue?

Nissan Patrol Y62 V8 , Ya petrol, 2017, ina five years sasa nimenunua mpya Nissan pale 124,700USD, SASA ina kilometa 102345.
Imeshuka thamani nimepewa offer 100M. Tu.
Na hilux 2017 imekost hadi Dar 48,258usd.
Crown imecost 10,9450Usd.

Nauza nissan ni PM njoo ulipe uchukue full documents. Mbadala inakuja Toyota prado 2021 - 87,000usd. Nimenunua via finance.
Na Pick UP Nissan used Td42 36,000usd.
Sasa unashangaa nini ???
Mi mwenyewe na ndoto one year or two nimiliki 300series Dola 167,000.
Kwa sasa siwezi na meengi ya kufanya.
BMWx5 nilinunua 85M Tshs. Ilisumbua sana nikauza baada ya three years 37M.
Eti mimi nadai si dai na kwa umri wangu sikumbuki gari nilizonunua na kuuza.
Sasa najenga zaidi umri umesogea watoto majukumu nikiyamaliza Insha Allah in 2yrs or before my dream car Toyota land Cruiser Vxr 300series ntanunua.
Muda huu uwezo wangu Prado 2021 Diisel Fully loaded.
USIPATE SHIDA MUNGU AKUONDOLEE HUSDA NA MASHAKA.
Nauza hiyo Nissan Y62 Ipo bompa njoo pm
Tufanye biashara ana kwa ana at my office.
Haya

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Ingia TikTok nicheki kwa jina la IssaTambuu halafu tuyajenge

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Kiujumla magari mengi ya ulaya hassa uingereza na ujerumani karibu yoote yanakuwa over Engineared ! Wanazingatia saana usalama na comfort ya gari, vile vile yanakuwa yametembea saana kilometa nyiingi, likiisha warranty wanauza.
Kwa namna hiyo kununua yaliyotumika used, kuwa na changa moto nyiingi saana na kati ya gari kumi saba hazifiki miaka mitatu Bongo, ununue iliyo kuwa bado ina upya itakupa muda kiasi, nimemiliki nyiingi tu kweli likiwa used na model chini ya miaka 13 hazifai. Bora kuanzia 2015 ambazo ni za gjhali saana. Sishauri mtu mwenye kipato chochote kununua gari ya zamani mno za Europe ni pasua kichwa.
Kwa mjapan Nissan nyiingi zinafanana spare parts zake tabu na bei juu mfano. Namiliki Nissan Patrol y62 ya 2017 - gari V8 ina nafasi ina nguvu nilinunua mpya sasa inasoma laki km kwenye Dash board ilipofika kM 92,000 ilisumbua sana senser, ignition coils,plugs,rejeta, fuel pump n.k. nilisimamisha miezi mitatu nakusanya nguvu kuagiza spare na ufundi wa uhakika limegharinu zaidi ya milioni 27. Kwa sasa lipo saafi illa sishauri kuwa mtu awe nalo labda uwe na uwezo wa pesa, natumia kwa safari sasa sana na lipo saafi na lina bugia wese balaa gari ya starehe na nguvu.
Nimenunua gari mbili hilux 2017 used na harrier 2008 used yaani na enjoy hamna shida natumia killa siku na masafa mafupi mambo safi na wife nimemchukukia Crown Athletic 2010 ( alikuwa na Bmw x5 ilitushinda) ana enjoy na kwa sasa hata pesa zinabaki na mjengo wetu unaelekea kwisha bado kidogo.
Nimemiliki namshukuru mungu gari nyiingi aina nyiingi , Gari ni Toyota kwa Africs.
Nissan naitangaza hakuna mteja na mpango wa kuliuza lipo safi sasa hata offer niliyopeea ya Mill 100 bora kuliko likianza matatizo.
Nimeagiza Toyota Prado Diesel litafika mwishoni mwa mwaka kwa njia ya finance la mwaka 2021 ni mara dufu bora.
Kuna jamaa yangu analo la 2016 hadi leo KM 278,780 hamna shida ni Breki na service tu.
Kwa uchache Bongo ni Toyota hata ukiwa na pesa vipi zingine ni majanga tu.
Upo vizuri nicheki TikTok @IssaTambuu

Broo una magar had milion 100 na Bado ujajenga uko vzr mzee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wana Jf salaam,

Ikiwa ni weekend tulivu kabisa.
Kama tujuavyo, kumiliki gari sasa hivi ni miongoni mwa vitu vya muhimu sana.

Wamiliki wapya wanaongezeka kila kukicha, na kwa bahati mbaya wengi hujikuta wanamiliki magari ambayo baadae yanakuja kuwapa changamoto na kujutia kabisa.

Leo embu tuambiane ukweli, pengine kupitia uzi huu utakua msaada kwa mtu au watu kabla ya kufanya maamuzi ya kuingia kwenye dunia ya umiliki wa gari.

Ni gari gani ambayo hauwezi kumshauri mtu kununua na ni kwanini?
VW Touareg
 
Nissan Patrol Y62 V8 , Ya petrol, 2017, ina five years sasa nimenunua mpya Nissan pale 124,700USD, SASA ina kilometa 102345.
Imeshuka thamani nimepewa offer 100M. Tu.
Na hilux 2017 imekost hadi Dar 48,258usd.
Crown imecost 10,9450Usd.

Nauza nissan ni PM njoo ulipe uchukue full documents. Mbadala inakuja Toyota prado 2021 - 87,000usd. Nimenunua via finance.
Na Pick UP Nissan used Td42 36,000usd.
Sasa unashangaa nini ???
Mi mwenyewe na ndoto one year or two nimiliki 300series Dola 167,000.
Kwa sasa siwezi na meengi ya kufanya.
BMWx5 nilinunua 85M Tshs. Ilisumbua sana nikauza baada ya three years 37M.
Eti mimi nadai si dai na kwa umri wangu sikumbuki gari nilizonunua na kuuza.
Sasa najenga zaidi umri umesogea watoto majukumu nikiyamaliza Insha Allah in 2yrs or before my dream car Toyota land Cruiser Vxr 300series ntanunua.
Muda huu uwezo wangu Prado 2021 Diisel Fully loaded.
USIPATE SHIDA MUNGU AKUONDOLEE HUSDA NA MASHAKA.
Nauza hiyo Nissan Y62 Ipo bompa njoo pm
Tufanye biashara ana kwa ana at my office.
Shekh nafikir ni kuachana na mtu maana ukisema magar hayo mtu anaona haiwezekan dunian kuwa nayo.alikuwapo qaruun na utajir funguo tu za safe zake zilikua zinakokotwa na farasi hakuna aliyeweza kubeba.
Husda tu .mbona mi namjua tena juz tu mtu ameagiza Thailand gar ya 50,000usd
 
Kweli brother, acha tufanye kazi tujitahid .
Mwisho wa yoote duniani ni kufanya wema na maendeleo yako na familia.
Mwishowe ya yoote haya tutayaacha.
Itabaki historia na ni bora iwe historia njema.
 
Broo una magar had milion 100 na Bado ujajenga uko vzr mzee

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Nimejenga All hamdulillah, umri niliyo nao.
Nimejenga saana, Iringa , Arusha na Dar magomeni na kijitonyama - ya kununua.
Mjengo mwingine upo over90% kigamboni Geza ulole chini.
INSHA ALLAH before october will be done.
Njoo PM kama una pesa uchukue nissan Y62 ,kama huitaki - endelea na maswali.
Bahati mbaya bafili ya kuelemishhana kuhusu magari tunaulizana uwezo wa mtu na mambo binafsi.
 
Sahihi kabisa
 
Back
Top Bottom