manwest1
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 225
- 135
Wanajamvi nataka kuagiza gari yenye cc chache ili nisipate mawazo kwani nakaa bagamoyo na nafanya kazi mwenge. Nahitaji kuagiza gari dogo na choice yangu ni toyota cami au corola. Naomba ushauri kwenye durability na mafuta please. Ikiwezekana na choice itayokuwa bora zaidi. Nawasilisha.