Ni gari gani itanifaa kwa mafuta kidogo kati ya Toyota corola na Toyota cami?

Ni gari gani itanifaa kwa mafuta kidogo kati ya Toyota corola na Toyota cami?

Spacio, Raum, Allex, RunX! !!

Mkuu kwa mimi pamoja na usafiri gari ni kama pambo pia!!!!

Allex na RunX zinakubali rims na muonekano is more sportage!!!!
Pale nyuma unatupia sound life goes on!!!!!

Mzee ole hapo tuko wote hizo aina ulizotaja ni kiboko mi nimetumia Spacio na Raum! ndo gar zinazofaa kwa watu wenye vipato vya wastan hutojuta kuwa nayo
 
Kaka, karibu gari nyingi za Toyota hasa hizi zenye cc kati ya 900 hadi 2000 ni corolla. Kwa mfani Mark II, Spacio, Brevis, Camry nk zote hizo ni corolla. Kama nia yako ni kupata gari yenye matumizi kidogo ya mafuta, unachotakiwa kuangalia ni cc, ukichukua yenye cc kubwa consumption ya mafuta ni kubwa. Kwa mfano cc 2800 na kuendelea matumizi yake huwezi kulinganisha na cc 900, 1200, 1300, na 1500

Nadhani unampotosha hapo unasema Brevis mark II Camry ni corolla? Si kweli kabisa labda kama ulimaanisha ni "toyota". Brevis ni cc 2400+
 
Pole advantage au disadvantage ya gari inategemea matumizi yako na kama unalinganisha na gari nyingine!!!!!

Mi bado naona Wish ni gari nzuri tu kama ilivyo OPA au SPACIO kama huna mikiki na safari za njia ngumu!!!

Mkuu wish mbona kama mayai sana.
 
Me nakikorora mwaka wa 2 wakuu,spea mpaka sokoni napata,wese la ten nakata wiki kamata collora baba ufurahiye maisha.
OLESAIDIMU prondo njooni huku wese la 10,000.00 wiki hii ni kweli au kuashia moto asubuhi tu,maana ni kama lita 4.5 sasa mwenzetu huyu kwa siku anaenda km ngapi ofisini/home/ofisini.
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU prondo njooni huku wese la 10,000.00 wiki hii ni kweli au kuashia moto asubuhi tu,maana ni kama lita 4.5 sasa mwenzetu huyu kwa siku anaenda km ngapi ofisini/home/ofisini.

Binafsi nimeshangaa halafu, Mi ninavyojua fuel consumption ipo calculated according the km(distance ) covered na sio number of days. Wese la ten wiki? No thank you teacher
 
Last edited by a moderator:
Binafsi nimeshangaa halafu, Mi ninavyojua fuel consumption ipo calculated according the km(distance ) covered na sio number of days. Wese la ten wiki? No thank you teacher

Bora wewe umeona maana hata kama 11 km/l sidhani kama itadumu wiki unless awe anazunguka maeneo ya nyumba yake.
 
Subaru Forester _Confidence in Motion

Unataka gari isiyokula mafuta basi ipe supu au mchemsho

hahahahahaha kwi kwi kwi kwi....namshukuru Mungu kwa kuniumba na mapafu,otherwise mbavu zingechanika kwa kicheko nilichoangua.kweli jf nomaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Hivi subaru forester na impreza ipi ni balaa kwa kufunguka speed? Mi nazani impreza ni noma mbaya.
 
Tatizo wabongo hawawezi manual ndio maana wanashabikia kwamba foresta inatembea wakati mabingwa wa manual transmission impreza ni noma mbaya hata foresta hasogei.
 
Mzee ole hapo tuko wote hizo aina ulizotaja ni kiboko mi nimetumia Spacio na Raum! ndo gar zinazofaa kwa watu wenye vipato vya wastan hutojuta kuwa nayo

Nakubaliana nawe mkuu dundula
 
Last edited by a moderator:
OLESAIDIMU prondo njooni huku wese la 10,000.00 wiki hii ni kweli au kuashia moto asubuhi tu,maana ni kama lita 4.5 sasa mwenzetu huyu kwa siku anaenda km ngapi ofisini/home/ofisini.
Anakaa mtaa wa uhuru na msimbazi kazi yake petrol station uhuru pia na siku nyingine ana locomote labda!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wish mbona kama mayai sana.

Ni kweli kaka ndio maana nikamwambia kama hana mikiki mikiki ya njia ngumu,say anakaa zake kinondoni kazi town au ilala kazi Nyerere road hii inaweza kumfaa! !!!

Ila akina sie hii ikimaliza mwaka!!!!!!

Frankly mimi hii labda kwa shemeji yako (no offense) mimi kama mimi naona daaaaanh
 
Back
Top Bottom