Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yenye cc zisizozidi 1300. Nielimishe mkuu kuhusu spicies za corola na utofauti wake nitashukuru sana.
Weeee usichezeee kabisaaa na zenye turbo hiyo ni habare ingine unakaaa na mwenye v8 road na unamtesa tuuTatizo wabongo hawawezi manual ndio maana wanashabikia kwamba foresta inatembea wakati mabingwa wa manual transmission impreza ni noma mbaya hata foresta hasogei.
Basing on cc zinaanzia 1490 mpaka 1790 body type zinatofauti kuanzia sedan mpaka hatch back za 5 door inayokupa more seaters (space)!!!
Zipo zenye 4wd na front wheelers!!!!
Corolla ni gari ngumu na economy sana vipuri pia sio ghali na vipo kibao kuanzia used mpaka vipya, mafundi wanazijua sana tu hadi garage bubu!!!!
CYBERTEQ pita huku
Nilimuliza mtu huku kakataa kunijibu..
naomba kama unajua toyota wish ilivyo(advantage na disadvantage)please
Umemjibu vizuri mkuu. Corolla Sedan za kawaida 1997-2000, ni cc1490 hivi, na ni ngumu sana, hazili mafuta. Engine yake ni 5A ambayo inaingiliana na Starlet( gari nyingine ambayo haili mafuta). Ama Toyota Corolla yenye cc 1300 ni Toyota Corolla Runx, nyingi ziko poa sana, ukiiangalia imefanana na Toyota Allex. Hii ni kali kwa ndani na ni model ya kisasa. Bei yake iko timamu kidogo, ukiagiza hadi uiweke barabarani ni kama 9-10/11m/-. Ni nzuri sana hata fuel consumption iko chini, parking mjini ni rahisi kwani ni fupi kidogo. Hivyo kama uko poa agiza Corolla Runs, Allex na ukishindwa nunua Corolla Sedan 110,111 au 112!

Hongera ni hatua moja ya maendeleo;
Nami pia nikushauri kidogo, angalia usinunue kagari
kadogo sana kwani bagamoyo na mwenge siyo karibu,
linatakiwa gari gumu na imara walau 4wheel;
Ungeweza kununua hizi wanaita rav4 naona kama ni imara
sana, naamini ikiwa mpya hazili mafuta.
Nashukuru sana kwa kunifungua akili. Nina swali kidogo. Kuna tofauti gani katika gari za edition ya europ ns africa?
Thanx dada nitajitahidi. Japo kwangu ni 40 km hadi mwenge na from home to town ni lami.
Kama zingekuwa zimetengenezwa kwa material moja na thickness na vitu kama hivyo kwenye bodi basi ningeweza kusema ist sababu ya shorter base inayoipa weight ndogo na hivyo kuipa uimara juu ya shock ups,ball joints,coils na vitu kama hivyo!!!!
Lakini pia frame (fuvu) za hizo gari mbili pia zitakuwa na urefu tofauti!!!!!
Logically short is strong if material is the same lakini body mounts nazo zina sehemu yake!!!!!
Kwa mfano GR shavu lake refu ila gumu sana!!!!
Mi ningevote kwa ist mkuu!!!!
Vip corolla Allex ama Runx?
Vip corolla Allex ama Runx?
Bora wewe umeona maana hata kama 11 km/l sidhani kama itadumu wiki unless awe anazunguka maeneo ya nyumba yake.
Mimi ni mraibu mkubwa wa subaru forester,sijali kuhusu ulaji wa mafuta ila watu wananitisha kuhusu upatikanaji wa spare,ni hapo tu ndo natishika.Subaru Forester _Confidence in Motion
Unataka gari isiyokula mafuta basi ipe supu au mchemsho
Kaka, karibu gari nyingi za Toyota hasa hizi zenye cc kati ya 900 hadi 2000 ni corolla. Kwa mfani Mark II, Spacio, Brevis, Camry nk zote hizo ni corolla. Kama nia yako ni kupata gari yenye matumizi kidogo ya mafuta, unachotakiwa kuangalia ni cc, ukichukua yenye cc kubwa consumption ya mafuta ni kubwa. Kwa mfano cc 2800 na kuendelea matumizi yake huwezi kulinganisha na cc 900, 1200, 1300, na 1500