Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
True, walau uwe na gari ya cc 2000 na ya cc chini ya 1000.
Kama ni hilo hilo, likitokea la kutokea, gari inageuka baskeli, lakini kwa anayeanza kusimama, laweza kutosha. Sie wenye familia na wageni kila siku ndio unawaza walau lazima uwe na gari kubwa kubwa pia.
Wakati naanza kujitegemea, nilikomaa na cc 2000, nilikoma, lakini nilifika japo kwa mbinde. SO namshauri atulie na na less than cc1000, sababu shida yake ni to-fro kazini.

Ni body type nzuri pia ingawa inadondokea Humo humo tu kuanzia engine mpaka miguu na spea za chini!!!!!
Hizi za cc chini ya 1490 kama ndio gari ya kwanza na pekee sishauri, mzee wangu alinambiaga hivi gari hata Morogoro tu kwenda nayo inakuwa shida we ya nini????!!!