Ni gari gani itanifaa kwa mafuta kidogo kati ya Toyota corola na Toyota cami?

Ni gari gani itanifaa kwa mafuta kidogo kati ya Toyota corola na Toyota cami?

nina e100 corolla ya 98 cc 1490 ni gari ngumu cjawahi kuona...unaweza kumuita fundi asubuhi akaweka juhudi zoote mpaka jioni akaenda kulala then akaaamka asubuhi akamalizia then wanakupa chaji ya jumla sh lak5 ....WAKATI KWA BMW AU BENZ iyo ni shock ubsorber moja tu...na apo umebadilisha joint , bush, bearing, shock up na vingine alafu bill inakuja iyo... na apo ni mara moja kwa mwaka au zaidi ndo naifanyia service iyo na apo naipiga mzigo arusha to karatu, karatu to mbulu regulary na wakati mwingine dar to arusha...no kuchemsha no kuweka maji no kuvuja oil... kwa gari ya masikini nadhani mjapan alikaa chini akaijiuliza,,,NAMSAIDIAJE MASKINI WA KIJIJINI? akajijibu...NA TUFANYE GARI KWA MFANO WA MKULIMA... naiheshimu sana E100 na imenitoa mbali mpaka benzi yangu na pajero yangu naziona mayai a.k.a mtoto wa mama tu...mafuta yake ni 12.5 km per litre na nkienda mbio like dar to arusha ni 14km per litre...asante corolla kwa kunirahisishia maisha!! NINA SIFA ZAKE NYINGI ILA SIJUI NISEME IPI NIACHE IPI...NOTE THAT NIMETAFUTA SOKONI/JAPAN ZIMEISHA..UTAKUTA TATU AU 4 NA BEI JUUUUU ZAIDI YA NEW MODELS NA UKIIMPORT NI HASARA TU.....

nikuusie e 100 Ninauza dar
 
nikuusie e 100 Ninauza dar

labda nikutafutie mteja kama iko kwenye hali nzuri ...nipm details na bei maana uku kwetu wanazipenda... mimi nimeshaagiza nyingne ila kodi wametaka kuniua aisee!! nipm mkuu
 
Unajua cedric na crown mjapan alitengeneza benz ya kwake maana speed na stability usipime 130 unapishana na mibasi haitingishiki.
Hizo gari 2 (crown n cedric) Mjepu aliamua kutoa Benz version ya Kijapan.
 
labda nikutafutie mteja kama iko kwenye hali nzuri ...nipm details na bei maana uku kwetu wanazipenda... mimi nimeshaagiza nyingne ila kodi wametaka kuniua aisee!! nipm mkuu
Kodi kwa sasa TRA wanakomeshea
 
Back
Top Bottom