nunuwa Toyota passo.
Hiyo sio gar ya kazi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nunuwa Toyota passo.
Kuna hizi gari zinaitwa Nissan Dual vip spea zake?
ASANTE..just curious,kati ya wish na ist kwenye uwezo wa kuhimili mikiki,ipi bora?Pole advantage au disadvantage ya gari inategemea matumizi yako na kama unalinganisha na gari nyingine!!!!!
Mi bado naona Wish ni gari nzuri tu kama ilivyo OPA au SPACIO kama huna mikiki na safari za njia ngumu!!!
ASANTE..just curious,kati ya wish na ist kwenye uwezo wa kuhimili mikiki,ipi bora?
Basing on cc zinaanzia 1490 mpaka 1790 body type zinatofauti kuanzia sedan mpaka hatch back za 5 door inayokupa more seaters (space)!!!
Zipo zenye 4wd na front wheelers!!!!
Corolla ni gari ngumu na economy sana vipuri pia sio ghali na vipo kibao kuanzia used mpaka vipya, mafundi wanazijua sana tu hadi garage bubu!!!!
CYBERTEQ pita huku
sikuwahi kujua hili honestly,the shorter the betterKama zingekuwa zimetengenezwa kwa material moja na thickness na vitu kama hivyo kwenye bodi basi ningeweza kusema ist sababu ya shorter base inayoipa weight ndogo na hivyo kuipa uimara juu ya shock ups,ball joints,coils na vitu kama hivyo!!!!
Lakini pia frame (fuvu) za hizo gari mbili pia zitakuwa na urefu tofauti!!!!!
Logically short is strong if material is the same lakini body mounts nazo zina sehemu yake!!!!!
Kwa mfano GR shavu lake refu ila gumu sana!!!!
Mi ningevote kwa ist mkuu!!!!
Me nakikorora mwaka wa 2 wakuu,spea mpaka sokoni napata,wese la ten nakata wiki kamata collora baba ufurahiye maisha.
kinachofanyika mkuu ni kuwachanganya wanunuzi kwa kuweka majina tofauti. Kuthibitisha hilo angalia gari yako ikiharibika na kuhitaji kipuri, utaambiwa gari fulani inaingiliana na gari fulani, watakachotaka kutoka kwako ni gari ya mwaka gani. Hizo ni mbinu za kibiashara tu mkuu. Hebu kumbuka kulikuwa na aina ya gari inaitwa Corolla II, kigari kipo kama kispots fulani hivi, hiyo haifanani na Toyota Allex, au Runnex? Hiyo Allion ukiangalia utagundua kuwa ina tofauti ya body tu na hizo nilizokutajiaHebu funguka zaid mkuu sababu gari kama Allion imo kwenye hiyo range lakini ukiingia mitandaoni kama tradecarview hii haiwekwi chini ya corolla! !!!!
Elimu tafadhali mkuu
sikuwahi kujua hili honestly,the shorter the better
kwa mfano ukitaka gari ambayo ni kubwa kidogo na imara utachukua ipi?(nivumilie na viquestions vyangu) ukitoa rav4
kinachofanyika mkuu ni kuwachanganya wanunuzi kwa kuweka majina tofauti. Kuthibitisha hilo angalia gari yako ikiharibika na kuhitaji kipuri, utaambiwa gari fulani inaingiliana na gari fulani, watakachotaka kutoka kwako ni gari ya mwaka gani. Hizo ni mbinu za kibiashara tu mkuu. Hebu kumbuka kulikuwa na aina ya gari inaitwa Corolla II, kigari kipo kama kispots fulani hivi, hiyo haifanani na Toyota Allex, au Runnex? Hiyo Allion ukiangalia utagundua kuwa ina tofauti ya body tu na hizo nilizokutajia
Jungu kuu wewe hukosi ukoko!!!!OLESAIDIMU maelezo yako yametimia,sina la kuongeza....toyota corolla NUMBER ONE TOP SELLING CAR OF ALL TIME....WORLDWIDE!!!!
Ndugu nunua Vitz new model cc 990 hutojuta.achana na maneno ya waswahili kwamba ni za ke.
Ndugu nunua Vitz new model cc 990 hutojuta.achana na maneno ya waswahili kwamba ni za ke.