Yenye cc zisizozidi 1300. Nielimishe mkuu kuhusu spicies za corola na utofauti wake nitashukuru sana.
Nilimuliza mtu huku kakataa kunijibu..Basing on cc zinaanzia 1490 mpaka 1790 body type zinatofauti kuanzia sedan mpaka hatch back za 5 door inayokupa more seaters (space)!!!
Zipo zenye 4wd na front wheelers!!!!
Corolla ni gari ngumu na economy sana vipuri pia sio ghali na vipo kibao kuanzia used mpaka vipya, mafundi wanazijua sana tu hadi garage bubu!!!!
@cybeteq pita huku
Kaka, mi nakushauri google hizo gari ndo utapata ukweli wa kila kitu kuhusu gari unazoshauriwaNilimuliza mtu huku kakataa kunijibu..
naomba kama unajua toyota wish ilivyo(advantage na disadvantage)please
Nilimuliza mtu huku kakataa kunijibu..
naomba kama unajua toyota wish ilivyo(advantage na disadvantage)please
Kaka, karibu gari nyingi za Toyota hasa hizi zenye cc kati ya 900 hadi 2000 ni corolla. Kwa mfani Mark II, Spacio, Brevis, Camry nk zote hizo ni corolla. Kama nia yako ni kupata gari yenye matumizi kidogo ya mafuta, unachotakiwa kuangalia ni cc, ukichukua yenye cc kubwa consumption ya mafuta ni kubwa. Kwa mfano cc 2800 na kuendelea matumizi yake huwezi kulinganisha na cc 900, 1200, 1300, na 1500
Hapo naunga mkono hoja....Basing on cc zinaanzia 1490 mpaka 1790 body type zinatofauti kuanzia sedan mpaka hatch back za 5 door inayokupa more seaters (space)!!!
Zipo zenye 4wd na front wheelers!!!!
Corolla ni gari ngumu na economy sana vipuri pia sio ghali na vipo kibao kuanzia used mpaka vipya, mafundi wanazijua sana tu hadi garage bubu!!!!
CYBERTEQ pita huku
Pole advantage au disadvantage ya gari inategemea matumizi yako na kama unalinganisha na gari nyingine!!!!!
Mi bado naona Wish ni gari nzuri tu kama ilivyo OPA au SPACIO kama huna mikiki na safari za njia ngumu!!!
Basing on cc zinaanzia 1490 mpaka 1790 body type zinatofauti kuanzia sedan mpaka hatch back za 5 door inayokupa more seaters (space)!!!
Zipo zenye 4wd na front wheelers!!!!
Corolla ni gari ngumu na economy sana vipuri pia sio ghali na vipo kibao kuanzia used mpaka vipya, mafundi wanazijua sana tu hadi garage bubu!!!!
CYBERTEQ pita huku
Wanajamvi nataka kuagiza gari yenye cc chache ili nisipate mawazo kwani nakaa bagamoyo na nafanya kazi mwenge. Nahitaji kuagiza gari dogo na choice yangu ni toyota cami au corola. Naomba ushauri kwenye durability na mafuta please. Ikiwezekana na choice itayokuwa bora zaidi. Nawasilisha.
Hapo naunga mkono hoja....
Nimekupata mkuu. Kwangu mimi nadhani cc 1490 sedan itanifaa. Toka nyumbani hadi kazini ni lami hivyo nadhani itadumu. Probox unazionaje mkuu?