Ni gari gani itanifaa kwa mafuta kidogo kati ya Toyota corola na Toyota cami?

nikuusie e 100 Ninauza dar
 
nikuusie e 100 Ninauza dar

labda nikutafutie mteja kama iko kwenye hali nzuri ...nipm details na bei maana uku kwetu wanazipenda... mimi nimeshaagiza nyingne ila kodi wametaka kuniua aisee!! nipm mkuu
 
Unajua cedric na crown mjapan alitengeneza benz ya kwake maana speed na stability usipime 130 unapishana na mibasi haitingishiki.
Hizo gari 2 (crown n cedric) Mjepu aliamua kutoa Benz version ya Kijapan.
 
labda nikutafutie mteja kama iko kwenye hali nzuri ...nipm details na bei maana uku kwetu wanazipenda... mimi nimeshaagiza nyingne ila kodi wametaka kuniua aisee!! nipm mkuu
Kodi kwa sasa TRA wanakomeshea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…