Ni Gari gani? ndogo for long safari

Ni Gari gani? ndogo for long safari

Ukaridayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2012
Posts
515
Reaction score
476
Naam
Kama title inavyojieleza hapo juu...

Actualy ni swali, At list ningependa kujua kutoka kwenu gari ndogo zenye 1790Cc -1500Cc ambazo mtu anaweza kutoboa safari za Dar-Arusha ama Dar-Mbeya au Dar-Mwanza angalau mara 2 ndani ya kila mwezi..

Nina mana ya kama ni Dar-Arusha basi ndani ya mwezi inaweza kusafiri mara 2...
 
Kazaneni kwa kunyoosha maelezo wana jamvi... Kwenye hizo shortlist.
 
Ist ni nzuri kwani inakunywa vizuri mafuta litre 40 inakufikisha vizuri kabisa vile vile ina balance nzuri
 
Back
Top Bottom