Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka kuna mashine aina ya VW Tiguan....hiyo kitu ni tamu balaa na comfortability yake ni habari nyingine kabisa
Machine nyingine kali ni Toyota Probox.
Inatosheleza mahitaji yako!!
Ubarikiwe!!
Caldina ni gari nzuri kwa safari hizo, ni Service tu mkuu ndio muhimu. Nimesafiri nayo Mwanza singida, kahama dodoma sijawahi kupata tatizo nayo. hii yangu ni D4 VVTI, very smart car for you. Inaenda mpaka 15km/hr na ni 2000cc.Mkuu naomba uzoefu wako kuhusu Caldina maana nimenywea bia kiasi cha sarafu za motokaa nimepewa option wa hii ndinga.
Mkuu naitaman sana hii gari, vipi uimara wake, service zake na vipuli vyake hasa hii mikoa ya pwani (Moro na dar).Touran 2005
Wakuu haya si magari ya hela ndefu??
(Sina uzoef na magari)
Cellica..
Nimekuelewa mkuu.Una umri gani?
Kipato kipoje?
Una haraka kiasi gani na safari yako?
Haya maswali ni muhimu sana katika kukutafutia aina ya gari kwaajili ya safari yako.
Mfano..
1.UMRI.
Kama ni rika letu hili la ujana kuna Altezza.
Zinatembea vizuri na speed ni roho yako tu.
2..KIPATO.
Hapa unashauriwa aina ya gari kulingana na kipato chako ndugu,
Kama ni mtanzania wa kawaida tunaoishi chini ya dollar moja kwa siku chukua tu gari zenye chini ya 1500 cc unaweza ukachagua pia aina mbalimbali za magari.
IST,CARINA TI,ALLEX,RUNX,SWIFT nk.
Kama upo vizuri unaweza ukamudu gharama za mafuta na ishu nyinginezo pia kuna
BREVIS,MARK X,GRANDE MARK2 ,RAV4,HARRIER nk.
3.UHARAKA WA SAFARI.
kama unaharaka sana na hela ipo hapo chukua vyuma..(magari) yenye injini kubwa kuanzia cc 2500 na kuendelea.
BREVIS ipo pia hapa hadi zile Altezza,land cruiser vx x8 nk
Mkuu sina sana uzoefu wa gari za VW but nitakujibu kwa litle knonwledge.Mkuu naitaman sana hii gari, vipi uimara wake, service zake na vipuli vyake hasa hii mikoa ya pwani (Moro na dar).
nadhani ulimaanisha 'kluger v'Killer V
Karina Si. Anytime, any where.Naam
Kama title inavyojieleza hapo juu...
Actualy ni swali, At list ningependa kujua kutoka kwenu gari ndogo zenye 1790Cc -1500Cc ambazo mtu anaweza kutoboa safari za Dar-Arusha ama Dar-Mbeya au Dar-Mwanza angalau mara 2 ndani ya kila mwezi..
Nina mana ya kama ni Dar-Arusha basi ndani ya mwezi inaweza kusafiri mara 2...