Ni Gari gani? ndogo for long safari

Ni Gari gani? ndogo for long safari

Kuna kitu Toyota Caldina mkuu! Kinatulia mpaka unafuta speed meter yote bila kuyumba.
 
Mkuu gar karibia zote za VW zinatoboa vizur. Mfano VW newbeetle, golf, passat, touran etc zina 1.5L to 2.0L na top speed of 240km/h to 260km/h.
Ni ww tu hapo kuchagua ipi na mfuko wako ukoje....
 
Ni gari ambazo zinauwezo mkubwa sana wa safari,na utumiaji wa fuel ni 13-15km/l
 
Kuna kitu Toyota Caldina mkuu! Kinatulia mpaka unafuta speed meter yote bila kuyumba.

Mkuu naomba uzoefu wako kuhusu Caldina maana nimenywea bia kiasi cha sarafu za motokaa nimepewa option wa hii ndinga.
 
Naanza na VW aina ya passat ya mwaka 2005
 

Attachments

  • Passat 2005.jpg
    Passat 2005.jpg
    34.1 KB · Views: 157
  • Passat 2008.jpg
    Passat 2008.jpg
    3.7 KB · Views: 146
  • Passat front.jpg
    Passat front.jpg
    4.5 KB · Views: 143
  • Passat. 2005.jpg
    Passat. 2005.jpg
    34 KB · Views: 136
Nilipita na hii nyingine Tiguan nayo ni VW
 

Attachments

  • tiguan boot.jpg
    tiguan boot.jpg
    4 KB · Views: 132
  • tiguan front.jpg
    tiguan front.jpg
    3.8 KB · Views: 135
  • tiguan side.jpg
    tiguan side.jpg
    3.5 KB · Views: 130
  • tiguan.jpg
    tiguan.jpg
    3.8 KB · Views: 134
Back
Top Bottom