Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaah Mkuu una balaaa kubwa mnoo... Servirce baada ya miaka 2, nyoosha maelezo pls.![]()
HIYO NI BENTLY
![]()
PEUGOT = 1.1 Engine size. very comfortable na reliable
Hapo vipi mwisho wa yote. ukiwa na hiyo basi. kazi yako ni kuweka mafuta tu. na service kila baada ya miaka miwili.
kila la kheri
Caldina ni gari nzuri kwa safari hizo, ni Service tu mkuu ndio muhimu. Nimesafiri nayo Mwanza singida, kahama dodoma sijawahi kupata tatizo nayo. hii yangu ni D4 VVTI, very smart car for you. Inaenda mpaka 15km/hr na ni 2000cc.
Ferrari ukiendesha inakuwaje mkuu?Toyota Ractis nzur sana na ina option ya auto na manual mpaka gear 7 pale kwenye steering ndo kuna manual option zile + na - noma yani utafikir unaendesha Ferrari
MMh we acha kutumia hii gari kwa masafa marefu, sidhani kama iliandaliwa kwa kazi hiyo. Pia zingatia nyingi ya hizo body yake sio nzuri kwa ugumuMi huwa natumia Toyota Ractis na sijawahi kujuta balance na ulaji wa mafuta na kukimbia
Small car with big heart but ugly look like proboxChukua Toyota Raum old model inaweza kufika mpaka Misri bila shida.
"Raum a small car with big heart."
Ferrari wana option ya Dual Clutch system ambayo gear zipo kwenye steering unafanya Ku push high na low gear badala kuhangaika kukanyaga mafuta mengi u just control gears at ur handsFerrari ukiendesha inakuwaje mkuu?
wakuu vipi Toyota sienta...naombeni uzoefu kwa waliowahi itumia hiyo gari uimara wake na uwezo wake wa kuhimili mikiki ya safari za mbaliNaam
Kama title inavyojieleza hapo juu...
Actualy ni swali, At list ningependa kujua kutoka kwenu gari ndogo zenye 1790Cc -1500Cc ambazo mtu anaweza kutoboa safari za Dar-Arusha ama Dar-Mbeya au Dar-Mwanza angalau mara 2 ndani ya kila mwezi..
Nina mana ya kama ni Dar-Arusha basi ndani ya mwezi inaweza kusafiri mara 2...
Nitaichunguza hiyo ractis nione, je sienta vp ina options km hizo za ractis, pamoja na kuwa nimekosea spelling zake.Ferrari wana option ya Dual Clutch system ambayo gear zipo kwenye steering unafanya Ku push high na low gear badala kuhangaika kukanyaga mafuta mengi u just control gears at ur hands
Sienta haina mfumo wa ractis just gia ya automatic Tu Ractis ye ana bothNitaichunguza hiyo ractis nione, je sienta vp ina options km hizo za ractis, pamoja na kuwa nimekosea spelling zake.
Nilitaka niseme jamaa kapiga nayo masafa marefu halafu gari yenyewe kama ile hapana aisee! Ile body na mwonekano wake kupiga nayo masafa marefu inahitaji uwe na roho ngumu sanaMMh we acha kutumia hii gari kwa masafa marefu, sidhani kama iliandaliwa kwa kazi hiyo. Pia zingatia nyingi ya hizo body yake sio nzuri kwa ugumu