Ni Gari gani? ndogo for long safari

Nikaicheki na hii Premio nikagundua nayo ni Habari nyingine, imebebeshwa mashine VVTI nayo ni very economical fuel consuption with high confortability.
 

Attachments

  • premio 2007.jpg
    4.8 KB · Views: 171
  • premio city.jpg
    3.5 KB · Views: 164
  • premio front.jpg
    3.8 KB · Views: 161
  • premio inside.jpg
    4 KB · Views: 171
  • premio odo.jpg
    3.4 KB · Views: 173
  • primio back.jpg
    3.7 KB · Views: 176
Touran 2005
 

Attachments

  • Touran front.jpg
    3.8 KB · Views: 173
  • Touran 2005.jpg
    4.5 KB · Views: 170
  • Touran odo.jpg
    3.6 KB · Views: 172
  • Touran.jpg
    4 KB · Views: 172
Kaka kuna mashine aina ya VW Tiguan....hiyo kitu ni tamu balaa na comfortability yake ni habari nyingine kabisa

Machine nyingine kali ni Toyota Probox.
Inatosheleza mahitaji yako!!
Ubarikiwe!!
 
Una umri gani?
Kipato kipoje?
Una haraka kiasi gani na safari yako?
Haya maswali ni muhimu sana katika kukutafutia aina ya gari kwaajili ya safari yako.

Mfano..
1.UMRI.
Kama ni rika letu hili la ujana kuna Altezza.
Zinatembea vizuri na speed ni roho yako tu.

2..KIPATO.
Hapa unashauriwa aina ya gari kulingana na kipato chako ndugu,
Kama ni mtanzania wa kawaida tunaoishi chini ya dollar moja kwa siku chukua tu gari zenye chini ya 1500 cc unaweza ukachagua pia aina mbalimbali za magari.
IST,CARINA TI,ALLEX,RUNX,SWIFT nk.
Kama upo vizuri unaweza ukamudu gharama za mafuta na ishu nyinginezo pia kuna
BREVIS,MARK X,GRANDE MARK2 ,RAV4,HARRIER nk.

3.UHARAKA WA SAFARI.
kama unaharaka sana na hela ipo hapo chukua vyuma..(magari) yenye injini kubwa kuanzia cc 2500 na kuendelea.
BREVIS ipo pia hapa hadi zile Altezza,land cruiser vx x8 nk
 
Mkuu naomba uzoefu wako kuhusu Caldina maana nimenywea bia kiasi cha sarafu za motokaa nimepewa option wa hii ndinga.
Caldina ni gari nzuri kwa safari hizo, ni Service tu mkuu ndio muhimu. Nimesafiri nayo Mwanza singida, kahama dodoma sijawahi kupata tatizo nayo. hii yangu ni D4 VVTI, very smart car for you. Inaenda mpaka 15km/hr na ni 2000cc.
 
Honda hrv hii machine Ni hatari 1000km non stop hakuna injine kuchemka wala kubadili mlio
 
Wakuu haya si magari ya hela ndefu??
(Sina uzoef na magari)

HIYO NI BENTLY


PEUGOT = 1.1 Engine size. very comfortable na reliable
Hapo vipi mwisho wa yote. ukiwa na hiyo basi. kazi yako ni kuweka mafuta tu. na service kila baada ya miaka miwili.
kila la kheri
 

Attachments

  • upload_2016-8-4_8-35-19.jpeg
    8 KB · Views: 164
Nimekuelewa mkuu.
Umri ni Mid 20s na kipato ni cha kawaida...
Ndiyo mana nikasema nataka gari ndogo isiyonipa headche...

Ndogo ya kuweza kuimudu but angalau iwe latest... Mfano ni hiyo Premio at least kwa udogo wake lakini ni latest...

Altezza ndugu Cc zake ni tishio..
Hayo VW nayo pia kwenye Servirce na vipuli ni balaa
 
Mkuu naitaman sana hii gari, vipi uimara wake, service zake na vipuli vyake hasa hii mikoa ya pwani (Moro na dar).
Mkuu sina sana uzoefu wa gari za VW but nitakujibu kwa litle knonwledge.

Hizi gari za VW tatizo linakuja kwenye gharama za vipuli na mafundi wetu... Yanahitaji shule hayo, mengine wanasema diagnosis ya kwenye engine tu ni lazima uwe na computer pamoja na kadi yake...

Ishu nyingine vipato vyetu ni vya kawaida sana tatizo ni kwenye gharama za vipuli!!

Kwanini ununue gari then after 6 month uwe umeshalipaki.. Unatembea kwa mguu.

Mambo ya kushow off yanagharama zake mkuu..

But uchumi kama una ruhusu ruksaaa.
 
Karina Si. Anytime, any where.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…