Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta?

Mimi bado huo uhuru mnadai chief kiukweli bado nashindwa kuulewa yaani hapo Mimi nacho hisi tunawabesha wananchi mzigo wa kudai uhuru na haki isio wahusu.
Wananchi ni mm na wewe, jiulize kuna mgombea wa CCM amepigwa na bomu? Au unadhani wagombea wa CCM ni wastaarabu sana kiasi hicho? Je unadhani kutofautiana mawazo na viongozi wa serikali ni kosa?
 
Wananchi ni mm na wewe, jiulize kuna mgombea wa CCM amepigwa na bomu? Au unadhani wagombea wa CCM ni wastaarabu sana kiasi hicho? Je unadhani kutofautiana mawazo na viongozi wa serikali ni kosa?
Sasa uniona chief kumbe hapo na wagombea ndio wanatafuta haki na uhuru kumbe sio sisi. Mimi nipo tu mtaani napiga mishe zangu uniambie sina uhuru wala haki kweli
 
"Popote niendapo katika ardhi ya Tanzania, Ila tu nisivunje sheria, kanuni na taratibu zilizowekwa na serikal"

Hiyo nukuu yako hapo juu ndiyo inachezewa na hawa wa KIJANI kukupumbaza
 
Huna jipya,unarejea tu ya Marehemu Mkapa,mpaka akawa kero na kupoteza heshima ya Ubaba MDOGO wa Taifa.Mkaishia kumshushia hadhi kwa kumhenyesha kwenye Kampeni za chaguzi ndogo ndogo,akawa wa kupambana na vitukuu akina ZZK na kina Mkosamali ...! Nyie siyo...
 
Hivi umesahau kuwa kutamka neno"vyuma vimekaza" imesababisha watu kuwekwa ndani.
 
Yaani mpaka sasa bado haijawa wazi jamaa wanapigania nini kwani kila kitu wanakipinga sasa haijulikani jambo gani ni jema au baya kwao.
 
Kwani ktk utawala wa mkoloni watu walizuiwa kufanya shughuli zao binafsi?
 
NEC imepitisha wagombea wa ubunge 30 na madiwani 230 bila kupingwa, je kwa uelewa wako hapo wananchi haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka hiyo haki wameipata?
 
NEC imepitisha wagombea wa ubunge 30 na madiwani 230 bila kupingwa, je kwa uelewa wako hapo wananchi haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka hiyo haki wameipata?
Funny enough wote waliopita bila kupingwa ni ccm pekee. Mkiambiwa Ni mediocre wa siasa mnatumia majeshi.
 
NEC imepitisha wagombea wa ubunge 30 na madiwani 230 bila kupingwa, je kwa uelewa wako hapo wananchi haki yao ya kuchagua viongozi wanaowataka hiyo haki wameipata?
Kwani wanananchi wamekwambia wanaitaka hiyo haki na huo uhuru. Au ni mmejiamulia wenyewe tu. Ni mahali gani umesikia watu wakilia kwamba haki na uhuru hamna Tanzania hii.
Kisha wakakutuma ukawatafutie, au mumejiamulia tu kutunga ili mtimize ilani ya vyama vyenu.
 
Sasa uniona chief kumbe hapo na wagombea ndio wanatafuta haki na uhuru kumbe sio sisi. Mimi nipo tu mtaani napiga mishe zangu uniambie sina uhuru wala haki kweli
Hiyo ni mifano tu, tatizo lako ni ubinafsi. Inawezekana kabisa hata huko unako piga dili majirani wakipata shida utasema ni shida zao wewe hazikuhusu
 
Kwahiyo ikiwa wewe unakula nao ulabu ndio uthibitisho tosha kuwa hakuna wanacho kidai watu wengine?
Na kwa akiri yako unadhani watu wote wawe na mawazo sawa kama unavyo waza wewe and co?
Uhuru kwake ni kunywa pombe
 
Siku CCM wakikubana wewe au ndugu yako ndiyo akili zitakurudi
Yaani wanibaneje wakati nafuata sheria, tatizo lenu hamfuati sheria. Mnapiga makelele tu bila kufuata sheria
 
Kwani hizi haki hazipo Tanzania hii, mbona watanzania hawajasikika wakizilalamikia. Kwamba ninyi ndio mnaziona peke enu au.
Wako hoi, wanatishwa na watawala asubuhi na jioni; kulia na kushoto, wanaogopa kusema wamejazwa hofu.
 
Kama unashibdwa kuelewa kua mawazo ya wachache ndiyo yanayowakilisha mawazo ya wengi utaelewa ni nini tena.Kwahiyo unataka watu wote tukiona mfumo wa elimu ni mbovu wote tukawe walimu,tukiona wa afya ni mbovu wote tukawe madaktari,tukiona bunge halitimizi wajibu wake ipasavyo wote tukawe wabunge.hebu amka kwenye hilo pono.Au wewe watanzania unaowajua ni wapi hao?
Kwani hizi haki hazipo Tanzania hii, mbona watanzania hawajasikika wakizilalamikia. Kwamba ninyi ndio mnaziona peke enu au.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…