Ni haki ipi na uhuru upi ambao viongozi wa upinzani wanatafuta?

Usiseme viongozi was upinzani,ila sema raia watanzania wapiga kura.
 

Kwani wewe ukiwasikiliza unaona ni haki na uhuru upi?
Je, hatuna sheria kandamizi (draconian laws)? Je, katiba yetu haina mapungufu ambayo yana-favour kundi moja la watu? Na kadha wa kadha.
 

Kumbuka hao ni viongozi wa vyama vyenye wanachama ambao ni watanzania? Pia ukumbuke katiba inaruhusu kila mtu kutoa maoni yake, hivyo hiyo ni nafasi yao kikatiba, ingawaje kwingine katiba ina issues.
 
Sasa uniona chief kumbe hapo na wagombea ndio wanatafuta haki na uhuru kumbe sio sisi. Mimi nipo tu mtaani napiga mishe zangu uniambie sina uhuru wala haki kweli

Mkuu usichukulie Watanzania kana kwamba hawajaeda shule vile, please revisit your highly questionable comments - what do they tell you? The truth of the matters is: reading between the lines wewe si MTU wa kupiga mishe mitaani wala nini sijui, si ajabu unatumia multiple alias names kuzuga watu - majibu yako tu yanaonyesha lengo lako ni kutaka kuchota watu akili, FYI Tanzanians can no longer be taken for a ride,we are capable of smelling a rat light years away u're skewed propaganda notwithstanding.
 
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Wananchi ni mm na wewe, jiulize kuna mgombea wa CCM amepigwa na bomu? Au unadhani wagombea wa CCM ni wastaarabu sana kiasi hicho? Je unadhani kutofautiana mawazo na viongozi wa serikali ni kosa?
The conduct of the upcoming elections in Tanzania has important consequences not only for Tanzania, but for the entire East African region. Tanzania’s history of peaceful multi-party elections stretching back 25 years has made it a model on the continent.

The United States government reaffirms unequivocally that it does not support any specific candidate or party in Tanzania’s upcoming elections. The United States supports the democratic process itself. We support a genuinely free, fair, transparent, and peaceful electoral process, before, during, and after election day. This includes ensuring the safety of all contestants, respect for the rule of law, and the absolute impartiality of the authorities in charge of managing the elections.

The United States, along with other democratic nations, will be paying close attention to actions of individuals who interfere in the democratic process or instigate violence against the civilian population before, during, or after the elections. We will not hesitate to consider consequences for those found to be responsible for election-related violence or undermining the democratic process.

We welcome the calls by the leading candidates for a peaceful and transparent electoral process, and we urge them and their supporters to take measures to decrease tensions and avoid inciteful rhetoric.

By U.S. Embassy Dar es Salaam | 1 October, 2020 | Topics: Press Releases
 
Sahihisho tu. Tanzania haikuwepo 1961. Hoja inapata nguvu kama uelewa upo.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Juzi mgombea mwenza wa urais kupitia CCM kasimama barabarani na kuanza "kusalimia" wananchi bila bugudha yoyote. Siku hiyo hiyo mgombea mwenza wa urais kupitia CHADEMA alisimama "kusalimia" wananchi, akapigwa mabomu. Hauoni shida hapo? Hauoni kama kuna kitu hakiko sawa?
 
Kama jambo dogo hivi ndo linakufanya utulie na uwaze basi wasiwasi wa uwezo wako si wakutilia shaka😂😂😂
 
Mkuu wewe umewahi kunyimwa uhuru wa kuhoji kitu gani, na wapi. Umewahi kunyimwa haki ipi.
Hivi ninapotishwa kuwa nisipochagua mbunge au diwani fulani basi serikali kuu haitaniletea maendeleo huoni kuwa hapo ninanyimwa haki yangu ya msingi ya kumchagua kiongozi nimtakaye bila kushurutishwa?
Hivi unataka mpaka yakukute ndio ujue nchi hii haki ni kwa hisani ya serikali iliyoko madarakani?
Akina Nusrat Henje wako mahabusu zaidi ya miezi 3 bila dhamana kwa jambo ambalo limefanywa pia na UVCCM ila wao kwao hawajatenda kosa!
Vipi kuhusu haki yangu ya kupata habari?Huoni hata wakati huu wa kampeni channel zote local ni mikutano ya JPM inarushwa pekee tofauti na 2015?
Endeleeni kutetea matumbo yenu,kwa hilo mko vizuri kwani level ya kujitoa ufahamu siyo ys dunia hii!
 
Mkishashiba ndio mnajitoa ufahamu kwa kiwango hiki!Muwe mnasoma mnayoyaandika!
 
Mkuu sio rahisi sasa mimi hao polisi nipo nao saivi nagonga ulabu tunapiga na stori sasa ndio uniambie hamna haki wala uhuru kweli
Kunywa pombe na askari ndio kwamba haki ipo?Hivi akili zenu mmemkabidhi nani?Aliyewaroga kafa!
 
Sasa uniona chief kumbe hapo na wagombea ndio wanatafuta haki na uhuru kumbe sio sisi. Mimi nipo tu mtaani napiga mishe zangu uniambie sina uhuru wala haki kweli
Hao wananchi waliopigwa mabomu kwa kutekeleza haki yao kikatiba kushiriki mikutano ya kampeni za uchaguzi,unadhani walistahili hayo?Msijitoe ufahamu!
 
Nimejiridhisha kuwa wewe ni mpumbav uliyeuza utu wako na kukubali kutumika watakavyo waliokununua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…