Huoni SGR kila siku wanafanya majaribio huku Shabibi, Msukuma, Abood, Ndugai wananunua mabasi mapyaSalaam ,Shalom!!
Kwa Mfano hapa Dar Es Salaam na maneno mengine penye uhaba wa maji na shida ya kupatikana maji,
Ni HAKI Kweli mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutuuzia wananchi maji kupitia kampuni zake?
Shida ya maji itakuja kwisha Kweli?
Ni sawa Kweli wabunge kupitia kampuni zao kupewa vibali vya kuagiza sukari nje?
Tatizo la uhaba wa Sukari litafika mwisho?
Wananchi tuamke na kuwapumzisha viongozi Hawa Ili wajikite katika biashara zao.
Muda ni sasa 2024&2025.
Karibuni.
Kwani wamiliki wa vituo vya mafuta ni wakulima?Mkuu Mbunge wa wapi huyo anayeuza maji?
Sasa unaongeaa upuuz gani hapaDikteta Magufuli aliapa kuyamaliza mafisadi matokeo yake yeye ndiyo akamalizwa