Uchaguzi 2020 Ni haki tena ni vema Rais Magufuli akapita bila kupingwa uchaguzi mkuu 2020

Uchu wa madaraka lakini pia kutumika kwao na wakoloni mambo leo ni mtihani, watawaeleza nini mabwana zao hao?
najua wewe ni wa jinsia ya kike, umbea na mipasho ni asili yenu. But hebu jaribu kupunguza umbea na ushankunaku.
 
Hivi umeshawahi kufuatilia historia ya Mheshimiwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi toka alipokuwa mbunge?
Rais Magufuli hapendi vya kunyonga kama Wapinzani
Tunataka Uchaguzi ili tuwanyooshe walimbukeni wa siasa
Angekuwa hapendi vya kunyonga. Je! ingetolewa fomu moja tu mtia nia wa nafasi ya uraisi ndani ya chama chake?
 
Hizo ni ɗalili mɓaƴa sana, ƙatiƙa meɗani za ushinɗani ni marufuƙu ƙuomɓa fair Ƙwa ƙufanƴa hivƴo utaƙuwa unaƙuɓali ƴa ƙuwa hauna uwezo wa ƙushinɗana twenɗe ulingoni ƙieleweke ƙwani 2020 si nɗio iliƴosuɓiriwa ƙwa hamu na ɓashasha ,ni muɗa muafaƙa sasa twenɗeni tuƙaone tulipanɗa nini msimu wa mavuno umewaɗia😊😊
 
Ifike mahali watanzania tuwe na akili nzuri sio kusapoti udikteta na mambo mengine ya hovyo. Tanzania imeharibika sana kiuchumi na kijamii tangu mwaka 2015. Tunahitaji mkombozi katika nchi hii na kwa bahati mbaya watu hawaelewi jambo hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…