The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Enzi za Nyerere, Chama kilikuwa kimeshika UTAMU .......!!Vikao vya Kamati Kuu ya CCM vimekuwa vikifanyika Ikulu tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo enzi za Mama. Hakuna la ajabu hapo.
And what does the Sheria say about it?Wakati wa mwalimu kuanzia mwaka 65 kulikuwa na chama kimoja mpaka anaondoka. By the way kinachogombwa hapa ni Sheria. You are setting a bad example.
Usinifokee!kwahiyo acha jazba.
Mimi ndio mimi. MwanaCCM kindakindaki!!Kumbe ni wew, nilitaka kushangaa ni nani huyu tena kawa headless chicken
Usisahau kuwa Ikulu pia ni Makazi Rasmi ya Rais na familia yake. Hivyo, ni ruksa kwa vikao vya familia kufanyikia hapo. Hata vya Kitchen Party!!KWA HIYO KITU KIKIFANYIKA MARA NYINGI HUGEUKA KUWA HALALI HATA KAMA NI HARAMU?
Usisahau, mtu anayekuwa Rais, huwa anakuwa na madaraka au majukumu mbalimbali... Sasa kila huko aliko na jukumu wakiamua waende ikulu kujenga mambo yao watakuwa wanafanya halali? Mfano, rais yeyote aliyeko madarakani, huwa vile vile ni baba au mama wa familia...
Kwa hiyo ccm sio sehemu ya hao wanaounda umma? 😂😂Nchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama...
Wafanyie tu kwani mm mwananchi wa kawaida CCM kufanyia Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Ikulu naathirika na nini? Tuko busy na tozo za vifurishi, hayo mangine hatuna mzuka nayoNchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama...
Nyerere kuvunja katiba na sheria haihalalishi kuwa CCM ya sasa hivi nayo ikivunja katiba na sheria kuwa ni sawa.Vikao vya Kamati Kuu ya CCM vimekuwa vikifanyika Ikulu tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo enzi za Mama. Hakuna la ajabu hapo.
Weka picha tuwaoneNchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama...
Sheria gani imevunjwa? Iweke hapa tuione.Nyerere kuvunja katiba na sheria haihalalishi kuwa CCM ya sasa hivi nayo ikivunja katiba na sheria kuwa ni sawa.
Uoga wake ndio usalama wa nafsi yake.....Uoga wake ndiyo umetufikisha hapa, watu wanakula pesa ya umma bila uoga, hata Iddi Amini ilikuwa ni mamlaka kama zilivyo zingine.
Unahitaji sheria kujua kuwa ofisi za uma hazipaswi kutumika na vyama vya siasa kufanya siasa zao?Yaani unahitaji sheria kujua kuwa Chadema hawawezi kutumia ikulu kama ofisi yao ya kuendeshea shughuli zao za kisiasa?Sheria gani imevunjwa? Iweke hapa tuione.
Hatari sn kumbe hii tabia mbaya imeanza kitamboNaomba kufahamishwa na wale wenye kufahamu zaidi, hivi ni sawa vikao vya CCM kufanyika Ikulu? Ninavyotambua Ikulu huwasikilisha serikali ikiwa ni pamoja na jamii nzima ya Tanzania.
Hivi CUF, TLP au Chadema wanaweza kufanyia mikutano yao Ikulu au katika sehemu zingine kama hizo?
Soma pia >
Vikao vya CCM Ikulu vinakera
- Tatizo la Rais Kufanyia Vikao vya CCM Ikulu ni la Pande 2
CCM ipo juu ya sheria mkuuWajuzi wa Mambo ya SIASA za TANZANIA naomba Kuuliza Yafuatayo
[emoji117]JE ni Sahihi CCM kufanyia Vikao vya Chama IKULU?...
Mkuu, hii sio sahihi kabisa. Lakini hainishangazi kwa huyu mkulu 'JK' chochote kinaweza fanyikia ikulu
Nyerere alitawala wakati vyama vikiwa vingi?Vikao vya Kamati Kuu ya CCM vimekuwa vikifanyika Ikulu tangu enzi za Mwl. Nyerere hadi leo enzi za Mama. Hakuna la ajabu hapo.
De facto monopartyPamoja na mabadiliko ya katiba ya mwaka 1992 na kuruhusu vyama vingi, inaonekana ni kwenye karatasi kwani CCM hawaoni tofauti kati ya chama na serikali hata kidogo.