Nchi yetu ni mali ya watanzania na muongozo wake ni katiba tuliyonayo.
Jana kwa hofu tena na aibu juu kamati kuu ya CCM imekutana usiku ikulu katika kujadiri mambo ya chama. Suala hili ni kinyume cha sheria kutumia ofisi ya umma kufanyia mkutano wa chama cha siasa.
CCM mna ofisi Lumumba, Dodoma mna majengo mawili pale JK Convertion centre pamoja na lile jengo lenu la bendera ya chuma Nendeni huko hata mkalale kabisa hakuna atakayewahoji lakini kutumia mali ya umma kufanyia kikao chenu ni big NO.
Mnatuudhi.