Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?


Mwanakijiji umenena iliyo kweli tupu, tukiendelea kunyamazia huu utovu wa nidhamu wa CCM tujue kinachoendelea sasa ni kisemwacho; "Mazoea hujenga tabia" na sasa yametimia imeshakuwa tabia na wanaona wana haki kuyanya watakavyo. Magamba yameshikamana mno vigumu kuchubuka.
 
nadhani hiki kikao hakihusiani na nchi wala hakina faida kwa wananchi .... chama kama chama kina ofisi na kumbi nyingi sana ni kweli wanataka kusema walishindwa au kulikuwa na ulazima kufanyia ikulu??? au walienda kuuza sura kupajua ikulu?
 
katika dunia ya sasa lazima ufanye 'lateral thinking', hebu soma tena posti ya mwanakijiji hapo juu kuhusu tatizo kujenga matatizo

Nimesoma. Hayo ndio mambo tunayolalamika hapa Marekani. George Bush alipokuwa rais, Democrats walikuwa wanasema anatumia F1 kwa safari za kisiasa. Sasa hivi yupo messiah Obama. Yeye anafanya yale ya Bush.
 
Nimesoma. Hayo ndio mambo tunayolalamika hapa Marekani. George Bush alipokuwa rais, Democrats walikuwa wanasema anatumia F1 kwa safari za kisiasa. Sasa hivi yupo messiah Obama. Yeye anafanya yale ya Bush.

kwa hiyo hakuna mbadala? kila atakayekuja atakuwa kama aliyepo? "there is nothing new under the sun" ala king solomon ?
 
je gharama ya kikao hiki imekasimiwa kwenye kitabu cha bajeti 2011/2012?
 



JK Aongoza Kamati Kuu Ikulu Leo February 27, 2012

Halafu umwachie mtu kama huyu aunde tume ya kuratibu katiba. Afadhali kuendelea kupigania katiba mpya kuliko upumbavu tunaotaka kuufanya under these obvious conditions of one party system supremacy.
 
kwa hiyo hakuna mbadala? kila atakayekuja atakuwa kama aliyepo? "there is nothing new under the sun" ala king solomon ?
there you go. Mrema akishinda urais, mnataka akafanyie mikutano ya chama Ajentina?
 
Ya Luthuli House ni ya Luthuli House !

Unashangaa ccm kufanya kikao ikulu? Hukumbuki harusi ya mdogo wake nyo aliifanyia ikulu na ma-alhaji na hajats? Nchi hii ndiyo tz inayoongozwa na wanaodhani nchi hhi yao (CCM)
 
Kwasababu ya mazingira tuliyonayo sasa, kadri inavyowezekana, shughuli za vyama vya siasa ikiwemo chama tawala, visiingiliane na shughuli za serikali. Tunalipia watu wanaostahili kulipiwa na chama chao wenyewe for no good reason
 
there you go. Mrema akishinda urais, mnataka akafanyie mikutano ya chama Ajentina?

Ndo maana hajawahi kushinda maana imagine foleni atakayoisabisha kwa kwenda agentina,lol!
 
amesahau kuwa hilo ni jengo la watanzania,
hajui ikulu ni mahali pa takatifu, watu wengine bana.
 
baadhi ya mambo huwa yanafanyika tanzania tu
 
Tatizo nchi hii hatuna mazoea ya kufauata taratibu na sheria kuanzia huyo CITIZEN No. 1.

Mkapa aligombana na Mama Anna Mkapa hadi wakaishia kuvunjana mikono na miguu kwasababu
Mkapa alimkatalia mama Anna Mkapa kumfanyia mtoto wa kufikia wa Mkapa harusi IKULU.

Kama hiyo haitoshi CCM imechukuwa viwanja tulivyojenga kwa nguvu na kodi yetu an kuvifanya
vya kwake kama Vile CCM Kirumba, Ali Hassan Mwinyi etc.

Watu wa ITIFAKI kweli hakuwepo kumsghauri this obvious UKIUKWAJI wa sheria. Next time Mbowe
akiitisha kamati kuu ya CDM kwenye ukumbi wa Bunge itakuwaje?
 
Reactions: EMT
Na watakua wamefanya makusudi hii... anyway wananchi wenyewe ndio hao tunahojia kwenye screen zetu
 
Hii ni saratani iliyokaa kwenye ubongo wa magamba! Ni kifo tu.
 
Clinton alikula uroda na Monica Lewinsky wapi? Oval Office.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…