Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

Ni halali CCM kufanyia vikao Ikulu?

Sioni ajabu. Kama alishawahi kuigeuza dinning na kuanza kufuturishia ili a-win cheap popularity ya akina Ponda, ndo itakuwa kuweka vikao vya chama chake!
 
It is unthinkable for Obama to have a Democratic party session in the White House.

Mbona Obama na Bush walifanya mikutano na kulisha futari waIslamu pale White House. Tanzania ina issues kubwa sasa hivi. Hivi zingine fumbeni macho.
 
Acha majungu, usijifanye hujui kuwa enzi za Nyerere tulikuwa na chama-dola (party-state) !

Hamna majungu mkuu. Juzi aliwaita CHADEMA na kufanya mazungumzo nao pale. Rais ana ukumbi wa kufanyia mazungumzo.

Watanzania mna mambo mengi ya kulalamika. Lakini hili sio moja.
 
Hamna majungu mkuu. Juzi aliwaita CHADEMA na kufanya mazungumzo nao pale. Rais ana ukumbi wa kufanyia mazungumzo.

Watanzania mna mambo mengi ya kulalamika. Lakini hili sio moja.

Ya Luthuli House ni ya Luthuli House !
 
Hamna majungu mkuu. Juzi aliwaita CHADEMA na kufanya mazungumzo nao pale. Rais ana ukumbi wa kufanyia mazungumzo.

Watanzania mna mambo mengi ya kulalamika. Lakini hili sio moja.
havihusiani. CDM walienda kama sehemu ya watanzania kuonana na rais kujadiri katiba ya nchi, CCM wameenda kama sehemu ya watanzania walioko kamati kuu ya CCM kwenda kumuona mwenyekiti wa CCM kujadiri mambo ya CCM. Hivyo kuna tofauti, CDM walienda kuongea na raisi wakati CCM walienda kuongea na mwenyekiti wao.
 
Si anamwiga Nyerere.
Zakumi,
Naona Companero ameniwahi. Nyerere alitawala under one party state. Sasa tukubali kuwa tuna multi party na lazima
tubadilike kuendana na hali halisi. Mambo ya serikali yawe ya serikali na ya chama yawe ya chama. Hii ya Obama kuwakaribisha Waislamu kufuturu haina mshiko. Wale Waislamu walikuwa wanachama wa Democratic?
 
Hamna majungu mkuu. Juzi aliwaita CHADEMA na kufanya mazungumzo nao pale. Rais ana ukumbi wa kufanyia mazungumzo.

Watanzania mna mambo mengi ya kulalamika. Lakini hili sio moja.
Once again mkutano wa rais na Chadema ulihusu katiba--masuala ya nchi na si masuala ya CCM au Kamati kuu ya CCM.
Hatutachoka kukupa tuisheni.
 
labda ilikuwa shida kubeba kiti cha miujiza! the guy is shrinking or just loosing weight!
 
Back
Top Bottom