Skillionare
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 1,190
- 526
Tuna tatizo kubwa la viongozi kutofuata maadili ya kazi zao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha majungu, usijifanye hujui kuwa enzi za Nyerere tulikuwa na chama-dola (party-state) !
Clinton alikula uroda na Monica Lewinsky wapi? Oval Office.
Tatizo nchi hii hatuna mazoea ya kufauata taratibu na sheria kuanzia huyo CITIZEN No. 1.
Mkapa aligombana na Mama Anna Mkapa hadi wakaishia kuvunjana mikono na miguu kwasababu
Mkapa alimkatalia mama Anna Mkapa kumfanyia mtoto wa kufikia wa Mkapa harusi IKULU.
Kama hiyo haitoshi CCM imechukuwa viwanja tulivyojenga kwa nguvu na kodi yetu an kuvifanya
vya kwake kama Vile CCM Kirumba, Ali Hassan Mwinyi etc.
Watu wa ITIFAKI kweli hakuwepo kumsghauri this obvious UKIUKWAJI wa sheria. Next time Mbowe
akiitisha kamati kuu ya CDM kwenye ukumbi wa Bunge itakuwaje?
I wonder whose idea this was...
Clinton alikula uroda na Monica Lewinsky wapi? Oval Office.
Mbona Obama na Bush walifanya mikutano na kulisha futari waIslamu pale White House. Tanzania ina issues kubwa sasa hivi. Hivi zingine fumbeni macho.
hii ni breaking news kabisa ati
Kuna kingine mnachopenda zaidi ya kufuturishwa? Obama na Bush wanawapa kile mnapenda.
Hamna majungu mkuu. Juzi aliwaita CHADEMA na kufanya mazungumzo nao pale. Rais ana ukumbi wa kufanyia mazungumzo.
Watanzania mna mambo mengi ya kulalamika. Lakini hili sio moja.