Mkimuyangu
JF-Expert Member
- Oct 5, 2022
- 1,054
- 1,947
Maana yangu kiimani inabidi kabuliwi lijengewe,au lizijengewe,yaani paachwe tu kama tuta?Mbona mengi tu yamejengewa, halali ukiwa na maana gani?
Binadamu aliumbwa kwa udongo na atarudi kuwa udongo,maana yake mtu anapokufa, anazikwa.Mwili wake na mifupa yake yote hubadilika kuwa udongo ndiyo tafsiri yakeNasubiri kupata elimu hapa
Kaburi la mzazi/wazazi wako, mke/mume wako na watoto wako yamejengewa?Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona mengi tu yamejengewa, halali ukiwa na maana gani?
Unatakiwa useme kwa mujibu wa Imani ipi, Maana Uislamu siyo sawa Ukristo.Binadamu aliumbwa kwa udongo na atarudi kuwa udongo,maana yake mtu anapokufa, anazikwa.Mwili wake na mifupa yake yote hubadilika kuwa udongo ndiyo tafsiri yake
Maana yake haina haja ya kumzika na nguo au jeneza na mavitu ya ghalama, maana siku ya kufufuliwa kila mtu atafufuliwa uchi wa mnyama
Ukija upande wa kaburi, hairuhusiwi kujengewa wala kuandika majina ya marehemu, maan uzuri wa marehemu au ubaya wake unatokana na yale matendo aliyoyafanya akiwa hai duniani, siyo kujenga na kuremba kaburi tukitarajia labda tunamuhesimisha marehemu.
Na kama marehemu aliiacha kizazi chema mfano watoto waliosoma dini au Quruani basi watatumie elimu yao kumuombe mzazi wao,
We kama Muslim sio lazima ila sisi tunajengea na usiniulize inetajwa wapi kwenye biblia.Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Katika uisilamu ni katazo ila usiniulize kuwa mbona waisilamu wabahengea na kuandika majina?Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Kufa nikufa tuwewe unaina Maiti imelala hapo wengine wanaona ni watoto wao, ndugu zao, baba zao, mama zao nk wanahitaji kuwajengea kupata closure. Wakiondoka hakuna atakayewakumbuka. .
ila ukumbuke kuwa bodies die but our loved ones don't die our hearts as long as we remember them. .
Bila hivyo kaburi la mtume lingeshapoteaHili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Qur'an haikukataza kujengea kaburi,wakati wa mtume hapakua na utaratibu wa kujengea makaburi...mtume kutofanya Jambo haimaanishi haramu,kwa sharia ya kiislam kitu hakiwi Haram mpaka kiharamishwe na mamlaka(Mungu/Qur'an)Maana yangu kiimani inabidi kabuliwi lijengewe,au lizijengewe,yaani paachwe tu kama tuta?