Ni halali kujengea makaburi?

Ni halali kujengea makaburi?

Nasubiri kupata elimu hapa
Binadamu aliumbwa kwa udongo na atarudi kuwa udongo,maana yake mtu anapokufa, anazikwa.Mwili wake na mifupa yake yote hubadilika kuwa udongo ndiyo tafsiri yake

Maana yake haina haja ya kumzika na nguo au jeneza na mavitu ya ghalama, maana siku ya kufufuliwa kila mtu atafufuliwa uchi wa mnyama

Ukija upande wa kaburi, hairuhusiwi kujengewa wala kuandika majina ya marehemu, maan uzuri wa marehemu au ubaya wake unatokana na yale matendo aliyoyafanya akiwa hai duniani, siyo kujenga na kuremba kaburi tukitarajia labda tunamuhesimisha marehemu.

Na kama marehemu aliiacha kizazi chema mfano watoto waliosoma dini au Quruani basi watatumie elimu yao kumuombe mzazi wao,
 
Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Kaburi la mzazi/wazazi wako, mke/mume wako na watoto wako yamejengewa?
 
wewe unaina Maiti imelala hapo wengine wanaona ni watoto wao, ndugu zao, baba zao, mama zao nk wanahitaji kuwajengea kupata closure. Wakiondoka hakuna atakayewakumbuka. .

ila ukumbuke kuwa bodies die but our loved ones don't die our hearts as long as we remember them. .
 
Binadamu aliumbwa kwa udongo na atarudi kuwa udongo,maana yake mtu anapokufa, anazikwa.Mwili wake na mifupa yake yote hubadilika kuwa udongo ndiyo tafsiri yake

Maana yake haina haja ya kumzika na nguo au jeneza na mavitu ya ghalama, maana siku ya kufufuliwa kila mtu atafufuliwa uchi wa mnyama

Ukija upande wa kaburi, hairuhusiwi kujengewa wala kuandika majina ya marehemu, maan uzuri wa marehemu au ubaya wake unatokana na yale matendo aliyoyafanya akiwa hai duniani, siyo kujenga na kuremba kaburi tukitarajia labda tunamuhesimisha marehemu.

Na kama marehemu aliiacha kizazi chema mfano watoto waliosoma dini au Quruani basi watatumie elimu yao kumuombe mzazi wao,
Unatakiwa useme kwa mujibu wa Imani ipi, Maana Uislamu siyo sawa Ukristo.
 
Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
We kama Muslim sio lazima ila sisi tunajengea na usiniulize inetajwa wapi kwenye biblia.
Wayahudi walikuwa na mila za kuzika wafu kwenye mapango.
(Man made) Rejea story ya Lazaro na Yesu.

Ni kama walijengea 😎
 
Hakuna ubaya.kumstiri ndugu yako sehemu nzuri.japo kwa wafu ni sawa na bure.Ila sasa shida inaanzia pale tu unapo anza kuliabudu.mfano kupiga magoti,kuomba.hizo zote ni isha ya kuwasiliana na roho za mizimu,mapepo,mashetani.
 
Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Katika uisilamu ni katazo ila usiniulize kuwa mbona waisilamu wabahengea na kuandika majina?
 
wewe unaina Maiti imelala hapo wengine wanaona ni watoto wao, ndugu zao, baba zao, mama zao nk wanahitaji kuwajengea kupata closure. Wakiondoka hakuna atakayewakumbuka. .

ila ukumbuke kuwa bodies die but our loved ones don't die our hearts as long as we remember them. .
Kufa nikufa tu
 
Ni desturi na mazoea ya kuwaenzi ndugu zetu na kukumbuka tu historia ya uwepo wao Duniani.
Pia makaburi usaidia kuondoa sintofahamu Pana wengine bila makaburi ya wazazi wao wangeshafukuzwa nchini kitambo kwamba Sio watanzania
 
Maana yangu kiimani inabidi kabuliwi lijengewe,au lizijengewe,yaani paachwe tu kama tuta?
Qur'an haikukataza kujengea kaburi,wakati wa mtume hapakua na utaratibu wa kujengea makaburi...mtume kutofanya Jambo haimaanishi haramu,kwa sharia ya kiislam kitu hakiwi Haram mpaka kiharamishwe na mamlaka(Mungu/Qur'an)
 
Back
Top Bottom