Mimi nimekueleza, silioni tatizo hapo. Au huelewi unachokisoma?Kwani mimi nimeandika chochote zaidi ya kupost picha? Wapi nimesema kuna tatizo? Kwanini unakuwa na negativity juu yangu? Mimi nilikuwa na reinforce tu point yako.
Naam, haujaacha kitu.
Penye hitilafu za maamuzi, kuna kitu kinaitwa "Qiyas" kwenye Uislam. Anaachiwa kadhi aamuwe, kama hakuna kadhi, wanaachiwa Maulamaa waamuwe.
Hakiharibiki kitu kwenye Uislam.
Mtizamo wako ni upi juu ya hilo?Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Tanzania hatuna serikaliMakaburi ya bongo ni unplanned, hata kupanga makaburi inatushinda itakua miji
Haitakiwi kuacha alama ya mtu akifa,maana kusema tu lile kaburi la fulani ni shirikiwaulizw serikali kwanza viongozi wakubwa huwa wanajenga au wanaacha tu makaburi bila alama
kabla ya miaka 5 ya kufa mtume Muhamad (S.A.W)alikataza kabisa kuhusu kujengea makaburi ili watu wasije wakayaabudu na kugeuza sehemu za kutatulia shida zaoLakini huwa nasikia mnasema Uislamu haujaacha kitu.
Hakuna kwenye Uisilamu kilichosauliwa,ila watu wanajisaulisha,ingekuwa kuna ruhusa basi tungeyaona makaburi ya mitume waliotanguliaallah alisahau kuleta utaratibu wa kaburi la mja wake linatakiwa likengwe au lisijengwe?? Hao kadhi au maulamaa wanaleta qiyas zinazokinzana baina yao wenyewe na waumini pia.
Kwahiyo kipi kilikufanya uniambie nimekurupuka?Mimi nimekueleza, silioni tatizo hapo. Au huelewi unachokisoma?
Asiseme la shangazi aseme ni la mbwa sio?Haitakiwi kuacha alama ya mtu akifa,maana kusema tu lile kaburi la fulani ni shiriki
kabla ya miaka 5 ya kufa mtume Muhamad (S.A.W)alikataza kabisa kuhusu kujengea makaburi ili watu wasije wakayaabudu na kugeuza sehemu za kutatulia shida zao
Lakini siyo kwamba mtu anakatazwa kwenda kuyatembelea makaburi,anaruhusiwa ila ambacho hakitakiwi ni kule kusema lile la shangazi lile la baba lile la fulani,hii ndiyo imekatazwa
swali lako zuri sana...,Makaburi ya mitume na manabii wengi yamejengewa jee wasomi(Maulama) wamekosea?.
Yaani kusema tu lile la fulani ni dhambi,sababu yule mtu ategeuka na kuwa mafuvumbi,sasa kuna uhalali gani hapo wa kujua aliyelala ni furani,lakini ni haki kuwasalimia kwa ujumla watu wòte wa makaburini,mu hali gani sisi wote huku ni wazima na si mda mrefu tutaungana nanyi pamoja makuburiniAsiseme la shangazi aseme ni la mbwa sio?
Kwahiyo hilo kaburi lina tofauti gani na la mbwa sasa.., hao walikuwa binadamu na kuna memory zipo vichwani mwa watu.., lazima wawe adressed accordinglyYaani kusema tu lile la fulani ni dhambi,sababu yule mtu ategeuka na kuwa mafuvumbi,sasa kuna uhalali gani hapo wa kujua aliyelala ni furani,lakini ni haki kuwasalimia kwa ujumla watu wòte wa makaburini,mu hali gani sisi wote huku ni wazima na si mda mrefu tutaungana nanyi pamoja makuburini
Picha yako ya kaburi, ulikusudia nini kunijibu kwa picha ya kaburi?Kwahiyo kipi kilikufanya uniambie nimekurupuka?
Wewe ulielewa nini hadi kuniambia nimekurupuka?Picha yako ya kaburi, ulikusudia nini kunijibu kwa picha ya kaburi?
Niliwahi kutakiwa na idara fulani kuonyesha kaburi la babu yangu.Binadamu aliumbwa kwa udongo na atarudi kuwa udongo,maana yake mtu anapokufa, anazikwa.Mwili wake na mifupa yake yote hubadilika kuwa udongo ndiyo tafsiri yake
Maana yake haina haja ya kumzika na nguo au jeneza na mavitu ya ghalama, maana siku ya kufufuliwa kila mtu atafufuliwa uchi wa mnyama
Ukija upande wa kaburi, hairuhusiwi kujengewa wala kuandika majina ya marehemu, maan uzuri wa marehemu au ubaya wake unatokana na yale matendo aliyoyafanya akiwa hai duniani, siyo kujenga na kuremba kaburi tukitarajia labda tunamuhesimisha marehemu.
Na kama marehemu aliiacha kizazi chema mfano watoto waliosoma dini au Quruani basi watatumie elimu yao kumuombe mzazi wao,
Nimrkuuliza swali, kasome tena. Unaonesha huelewi unachokisoma.Wewe ulielewa nini hadi kuniambia nimekurupuka?