inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Imekataza na nani!?..tupe ushahidikatika uislam kujengea kaburi ni kosa
., imekatazwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imekataza na nani!?..tupe ushahidikatika uislam kujengea kaburi ni kosa
., imekatazwa.
hayo ni maoni yakoKufa nikufa tu
Kwaupande wangu tukiachilia mbali naswala la udini nakiimani nivizuri kuyajengea makaburi kwasababu inakua nialama unapata kujua kuwa kuna kaburi.Maana yangu kiimani inabidi kabuliwi lijengewe,au lizijengewe,yaani paachwe tu kama tuta?
Kule madina kaburi la mtume lipo mpaka keshoKatika uisilamu ni katazo ila usiniulize kuwa mbona waisilamu wabahengea na kuandika majina?
Kwa Waislam hilo ni jambo lenye misimamo tofauti ya maulamaa.Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Kwa Waislam hilo ni jambo lenye misimamo tofauti ya maulamaa.
Kuna wanaosema inafaa na kuna wanaosema haifai.
Hakuna uhalali au uharamu katika suala hilo.
Kwa mimi binafsi siioni faida ya kujengea makaburi, kwa mtazamo wangu sijawahi kumjengea au kuhamasisha yeyote anaetangulia ajengewe kaburi lake, wakati huohuo sijawahi kuhamasisha su kuwazuia wanaojengea kuwaambia wasijengee, kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.
Mimi ni mwanafunzi wa mafunzo ya Kiislam na Allah ndiye mjuzi wa yote.
Naam, haujaacha kitu.Lakini huwa nasikia mnasema Uislamu haujaacha kitu.
Makaburi ya mitume na manabii wengi yamejengewa jee wasomi(Maulama) wamekosea?.katika uislam kujengea kaburi ni kosa
., imekatazwa.
waulizw serikali kwanza viongozi wakubwa huwa wanajenga au wanaacha tu makaburi bila alamaHili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Soma post namba 26.Makaburi ya mitume na manabii wengi yamejengewa jee wasomi(Maulama) wamekosea?.
Kwanza yanatisha sana unakuta mtu amewekewa jengo kubwa kama vile huwa nakaribisha na wageni.Makaburi ya bongo ni unplanned, hata kupanga makaburi inatushinda itakua miji
hado wako hai,Kaburi la mzazi/wazazi wako, mke/mume wako na watoto wako yamejengewa?
Kwa Waislam hilo ni jambo lenye misimamo tofauti ya maulamaa.
Kuna wanaosema inafaa na kuna wanaosema haifai.
Hakuna uhalali au uharamu katika suala hilo.
Kwa mimi binafsi siioni faida ya kujengea makaburi, kwa mtazamo wangu sijawahi kumjengea au kuhamasisha yeyote anaetangulia ajengewe kaburi lake, wakati huohuo sijawahi kuhamasisha su kuwazuia wanaojengea kuwaambia wasijengee, kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.
Mimi ni mwanafunzi wa mafunzo ya Kiislam na Allah ndiye mjuzi wa yote.
Ni kujilisha upepo tu kwa sisi binadamu. Mtu akishakufa azikwe, achomwe, azamishwe baharini, aliwe na fisi wote hawana tofauti yoyote sema binadamu tuna mbwembwe tu za ajabu.
Umeisoma post yangu ulyoijibu kwa hiyo picha vizuri, au umekurupuka tu?
Kwani mimi nimeandika chochote zaidi ya kupost picha? Wapi nimesema kuna tatizo? Kwanini unakuwa na negativity juu yangu? Mimi nilikuwa na reinforce tu point yako.Umeisoma post yangu ulyoijibu kwa hiyo picha vizuri, au umekurupuka tu?
Silioni tatizo hapo.
Usishangae hilo, tazama hili👇🏾 Taj Mahal, mtu alimjengea mkewe, kwa mapenzi yake, leo limekuwa kivutio cha ajabu duniani👇🏾