Ni halali kujengea makaburi?

Ni halali kujengea makaburi?

Kuna kujengea kawaida kama alama alafu kuna ile exaggerations ya kuweka tiles na mabat like small house iyo ndo mbaya
 
Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Kwa Waislam hilo ni jambo lenye misimamo tofauti ya maulamaa.

Kuna wanaosema inafaa na kuna wanaosema haifai.

Hakuna uhalali au uharamu katika suala hilo.

Kwa mimi binafsi siioni faida ya kujengea makaburi, kwa mtazamo wangu sijawahi kumjengea au kuhamasisha yeyote anaetangulia ajengewe kaburi lake, wakati huohuo sijawahi kuhamasisha su kuwazuia wanaojengea kuwaambia wasijengee, kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.

Mimi ni mwanafunzi wa mafunzo ya Kiislam na Allah ndiye mjuzi wa yote.
 
Lakini huwa nasikia mnasema Uislamu haujaacha kitu.
 
Naam, haujaacha kitu.

Penye hitilafu za maamuzi, kuna kitu kinaitwa "Qiyas" kwenye Uislam. Anaachiwa kadhi aamuwe, kama hakuna kadhi, wanaachiwa Maulamaa waamuwe.

Hakiharibiki kitu kwenye Uislam.
 
Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
waulizw serikali kwanza viongozi wakubwa huwa wanajenga au wanaacha tu makaburi bila alama
 
Ni kujilisha upepo tu kwa sisi binadamu. Mtu akishakufa azikwe, achomwe, azamishwe baharini, aliwe na fisi wote hawana tofauti yoyote sema binadamu tuna mbwembwe tu za ajabu.
 
Wewe utajisikiaje wazazi wako wakifukiwa kama mizoga ya mbwa kwenye shimo?
 
Kwa Waislam hilo ni jambo lenye misimamo tofauti ya maulamaa.

Kuna wanaosema inafaa na kuna wanaosema haifai.

Hakuna uhalali au uharamu katika suala hilo.

Kwa mimi binafsi siioni faida ya kujengea makaburi, kwa mtazamo wangu sijawahi kumjengea au kuhamasisha yeyote anaetangulia ajengewe kaburi lake, wakati huohuo sijawahi kuhamasisha su kuwazuia wanaojengea kuwaambia wasijengee, kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.

Mimi ni mwanafunzi wa mafunzo ya Kiislam na Allah ndiye mjuzi wa yote.
64BE399B-E2B2-46CF-81B7-013EBD1D70E0.jpeg
F92FDAA4-0CAD-48F8-9C19-E32D2CD7CFD1.jpeg
 
Umeisoma post yangu ulyoijibu kwa hiyo picha vizuri, au umekurupuka tu?

Silioni tatizo hapo.
Kwani mimi nimeandika chochote zaidi ya kupost picha? Wapi nimesema kuna tatizo? Kwanini unakuwa na negativity juu yangu? Mimi nilikuwa na reinforce tu point yako.
 
Back
Top Bottom