Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Ushauri wangu, watafute masheikh, mfano huyu Sheikh shaaban al battashy anaishi zanzibar, ukitaka namba yake ni inbox nikupatie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi vuta picha, kama toka kipindi cha Adamu mpaka leo watu wangekuwa wanajengeaga makaburi tungekuwa na sehemu hata kufanyia maendeleo?Niliwahi kutakiwa na idara fulani kuonyesha kaburi la babu yangu.
Kilichoniokoa ni waliojengea makaburi na kuyaandika majina.
Kwa usalama wa kizazi chako nakusihi ujengee na uweke jina la marehemu.
Kwahiyo nilikurupuka kama ulivyosema au sikukurupuka?Nimrkuuliza swali, kasome tena. Unaonesha huelewi unachokisoma.
Hilo ni swali kwako, jibu wewe.Kwahiyo nilikurupuka kama ulivyosema au sikukurupuka?
Leo umeongea kama mtuKwa Waislam hilo ni jambo lenye misimamo tofauti ya maulamaa.
Kuna wanaosema inafaa na kuna wanaosema haifai.
Hakuna uhalali au uharamu katika suala hilo.
Kwa mimi binafsi siioni faida ya kujengea makaburi, kwa mtazamo wangu sijawahi kumjengea au kuhamasisha yeyote anaetangulia ajengewe kaburi lake, wakati huohuo sijawahi kuhamasisha su kuwazuia wanaojengea kuwaambia wasijengee, kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.
Mimi ni mwanafunzi wa mafunzo ya Kiislam na Allah ndiye mjuzi wa yote.
Sasa nini kilikufanya uhisi nimekurupuka hadi uniulize kupata uhakika wa hisia zako?Hilo ni swali kwako, jibu wewe.
Unaonesha unajuwa kusoma lakini huelewi unachokisoma.
Nimekuuliza swali, kalisome ujibu.Sasa nini kilikufanya uhisi nimekurupuka hadi uniulize kupata uhakika wa hisia zako?
Sawa nimeliona, ila kwanini uhisi nimekurupuka? Nini kimekupa hizo hisia?Nimekuuliza swali, kalisome ujibu.
Ndio tatizo la kukataa muongozo wa Mtume Muhammad (Rehma na Amani ziwe juu yake).Imekataza na nani!?..tupe ushahidi
Niliposoma hapa nimekumbuka Hadith hii;kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.
Muongozo wa mtume Muhammad ni QUR'ANNdio tatizo la kukataa muongozo wa Mtume Muhammad (Rehma na Amani ziwe juu yake).
Ndio ni halali.Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Mtume Muhammad Swalla Allahu Alayhi Wa Sallam, ameteremshiwa Qur-an na wahyi mwengine pia. Kuna wahyi nje ya Qur-an aliletewa Mtume ili aifafanue Qur'an na kuwafikishia watu. Na huwezi kusema unaifuata Qur-an ukaikataa Sunnah, wahyi mwengine alioletewa Mtume.Muongozo wa mtume Muhammad ni QUR'AN
Hikma inayotajwa hapo ni Qur'an yenyewe,hikma ipo ndani ya hizo Aya husika siyo kitabu kingine,wahy mwingine, Allah hakuna pahala kasema mtume ana wahy mwingine zaidi ya Qur'anMtume Muhammad Swalla Allahu Alayhi Wa Sallam, ameteremshiwa Qur-an na wahyi mwengine pia. Kuna wahyi nje ya Qur-an aliletewa Mtume ili aifafanue Qur'an na kuwafikishia watu. Na huwezi kusema unaifuata Qur-an ukaikataa Sunnah, wahyi mwengine alioletewa Mtume.
Soma aya zifuatazo za Qur'an, tafsiri ya maana yake ikiwa kama ifuatavyo;
“Allah revealed to you the Book and
the Hikmah and He taught you what you knew not, and great is the Grace of Allah unto you”. (Al-Nisā 4:113)
“Solemnly recall Allah’s favour on you, and the fact that He sent down to you the Book and
the Hikmah for your instruction…” (2:231)
“He is it He Who has sent among the unlettered ones, a Messenger
from among themselves, reciting to them His verses, purifying them, and teaching them the Book and
the Hikmah. And verily, they had been
before in manifest error”. (62:2)
Rejea pia Qur-an 2:129, 2:151, 3:164 na 33:34.
Qur-an na Sunnah ni muongozo. Vyote ni vyanzo vya Shari'ah.
Mtume ameifafanua Qur'an kwa watu kama alivyoamrishwa;
Tafsiri ya maana ya aya;
“And We revealed to you the Reminder so that you may explain to the people what was revealed to them.” [Surah An-Nahl: 44]
Na huo ufafanuzi nao ni wahyi kutoka kwa Allah. Hayakuwa matamanio ya nafsi yake Mtume.
Tafsiri ya maana ya aya;
16. Move not your tongue concerning (the Qur’an, O Muhammad ) to make haste therewith.
17. It is for Us to collect it and to give you (O Muhammad ) the ability to recite it (the Qur’an),
18. And when We have recited it to you [O Muhammad through Jibrael (Gabriel)], then follow you its (the Qur’an’s) recital.
19. Then it is for Us (Allah) to make it clear to you, (75:16-19)
Rejea pia Quran 4:113 na 2:231. Kwa kutaja kwa uchache tu.
Na Allah ametoa ahadi ya kuihifadhi Qur'an (15:9) ahadi hii imeenea kwa explanation yake pia ambayo ni Sunnah. Na ndio maana Sunnah nayo imehifadhiwa.
Mtume jazuiya makaburi kujengewa alafu lake lijengeweBila hivyo kaburi la mtume lingeshapotea
Hacha kunywa vilobaQur'an haikukataza kujengea kaburi,wakati wa mtume hapakua na utaratibu wa kujengea makaburi...mtume kutofanya Jambo haimaanishi haramu,kwa sharia ya kiislam kitu hakiwi Haram mpaka kiharamishwe na mamlaka(Mungu/Qur'an)