Ni halali kujengea makaburi?

Ni halali kujengea makaburi?

Ushauri wangu, watafute masheikh, mfano huyu Sheikh shaaban al battashy anaishi zanzibar, ukitaka namba yake ni inbox nikupatie
 
Niliwahi kutakiwa na idara fulani kuonyesha kaburi la babu yangu.
Kilichoniokoa ni waliojengea makaburi na kuyaandika majina.

Kwa usalama wa kizazi chako nakusihi ujengee na uweke jina la marehemu.
Hivi vuta picha, kama toka kipindi cha Adamu mpaka leo watu wangekuwa wanajengeaga makaburi tungekuwa na sehemu hata kufanyia maendeleo?
 
Kwa Waislam hilo ni jambo lenye misimamo tofauti ya maulamaa.

Kuna wanaosema inafaa na kuna wanaosema haifai.

Hakuna uhalali au uharamu katika suala hilo.

Kwa mimi binafsi siioni faida ya kujengea makaburi, kwa mtazamo wangu sijawahi kumjengea au kuhamasisha yeyote anaetangulia ajengewe kaburi lake, wakati huohuo sijawahi kuhamasisha su kuwazuia wanaojengea kuwaambia wasijengee, kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.

Mimi ni mwanafunzi wa mafunzo ya Kiislam na Allah ndiye mjuzi wa yote.
Leo umeongea kama mtu
 
kwa sababu sijaona ushahidi wowote kwenye Qur'an unaolikubali au kulikataza.
Niliposoma hapa nimekumbuka Hadith hii;

Sahih Muslim 2125 a

'Abdullah reported that Allah had cursed those women who tattooed and who have themselves tattooed, those who pluck hair from their faces and those who make spaces between their teeth for beautification changing what God has created. This news reached a woman of the tribe of Asad who was called Umm Ya'qub and she used to recite the Holy Qur'an. She came to him and said:

What is this news that has reached me from you that you curse those women who tattooed and those women who have themselves tattooed, the women who pluck hair from their faces and who make spaces between their teeth for beautification changing what God has created? Thereupon 'Abdullah said: Should I not curse one upon whom Allah's Messenger (ﷺ) has invoked curse and that is in the Book also. Thereupon that woman said: I read the Qur'an from cover to cover, but I did not find that in it. whereupon he said: If you had read (thoroughly) you would have definitely found this in that (as) Allah, the Exalted and Glorious, has said:" What Allah's Messenger brings for you accept that and what he has forbidden you, refrain from that." That woman said: I find this thing in your wife even now. Thereupon he said: Go and see her. She reported: I went to the wife of 'Abdullah but found nothing of this sort in her. She came back to him and said: I have not seen anything. whereupon he said: Had there been anything like it in her, I would have never slept with her in the bed.
حَدَّثَنَا إِسْحَاقُ بْنُ إِبْرَاهِيمَ، وَعُثْمَانُ بْنُ أَبِي شَيْبَةَ، - وَاللَّفْظُ لإِسْحَاقَ - أَخْبَرَنَا جَرِيرٌ، عَنْ مَنْصُورٍ، عَنْ إِبْرَاهِيمَ، عَنْ عَلْقَمَةَ، عَنْ عَبْدِ اللَّهِ، قَالَ لَعَنَ اللَّهُ الْوَاشِمَاتِ وَالْمُسْتَوْشِمَاتِ وَالنَّامِصَاتِ وَالْمُتَنَمِّصَاتِ وَالْمُتَفَلِّجَاتِ لِلْحُسْنِ الْمُغَيِّرَاتِ خَلْقَ اللَّهِ ‏.‏ قَالَ فَبَلَغَ ذَلِكَ امْرَأَةً مِنْ بَنِي أَسَدٍ يُقَالُ لَهَا أُمُّ يَعْقُوبَ وَكَانَتْ تَقْرَأُ الْقُرْآنَ فَأَتَتْهُ فَقَالَتْ مَا حَدِيثٌ بَلَغَنِي عَنْكَ أَنَّكَ لَعَنْتَ الْوَاشِمَاتِ وَالْمُسْتَوْشِمَاتِ وَالْمُتَنَمِّصَاتِ وَالْمُتَفَلِّجَاتِ لِلْحُسْنِ الْمُغَيِّرَاتِ خَلْقَ اللَّهِ فَقَالَ عَبْدُ اللَّهِ وَمَا لِيَ لاَ أَلْعَنُ مَنْ لَعَنَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وسلم وَهُوَ فِي كِتَابِ اللَّهِ فَقَالَتِ الْمَرْأَةُ لَقَدْ قَرَأْتُ مَا بَيْنَ لَوْحَىِ الْمُصْحَفِ فَمَا وَجَدْتُهُ ‏.‏ فَقَالَ لَئِنْ كُنْتِ قَرَأْتِيهِ لَقَدْ وَجَدْتِيهِ قَالَ اللَّهُ عَزَّ وَجَلَّ ‏{‏ وَمَا آتَاكُمُ الرَّسُولُ فَخُذُوهُ وَمَا نَهَاكُمْ عَنْهُ فَانْتَهُوا‏}‏ فَقَالَتِ الْمَرْأَةُ فَإِنِّي أَرَى شَيْئًا مِنْ هَذَا عَلَى امْرَأَتِكَ الآنَ ‏.‏ قَالَ اذْهَبِي فَانْظُرِي ‏.‏ قَالَ فَدَخَلَتْ عَلَى امْرَأَةِ عَبْدِ اللَّهِ فَلَمْ تَرَ شَيْئًا فَجَاءَتْ إِلَيْهِ فَقَالَتْ مَا رَأَيْتُ شَيْئًا ‏.‏ فَقَالَ أَمَا لَوْ كَانَ ذَلِكِ لَمْ نُجَامِعْهَا ‏.‏
Reference : Sahih Muslim 2125a
In-book reference : Book 37, Hadith 181
USC-MSA web (English) reference : Book 24, Hadith 5301
(deprecated numbering scheme)

Bi Faiza, Qur-an na Sunnah haviachani.

Al-Miqdam ibn Ma’dikarib reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “I have surely been given the Quran and something like it along with it. Soon the time is come when a man will recline on his couch, saying: Only follow the Quran, make lawful what you find in it as lawful and outlaw what you find in it as unlawful.”

Source: Sunan Abī Dāwūd 4604

Grade: Sahih (authentic) according to Al-Albani

Kisai Kazakh destroyer
 
Kujengea kaburi kimazingira hakufai maana unazuia nafasi za wengine.
 
عن أبي الهياج الأسدي قال: قال لي علي رضي الله عنه : «ألا أَبْعَثُك على ما بَعَثَني عليه رسول الله صلى الله عليه وسلم ؟ أن لا تَدْعَ صُورَةً إلا طَمَسْتَها، ولا قَبْرًا مُشْرِفًا إلا سَوَّيْتَه». صحيح] - [رواه مسلم

Kutoka kwa Abii Hayyaji Al-Asadiy Amesema: Alisema kuniambia mimi Ally -Radhi za Mwenyezi Mungu ziwe juu yake-: "Je nikuagize katika yale aliyoniagiza kwayo Mjumbe wa Mwenyezi Mungu Rehema na Amani ziwe juu yake? Usiache picha yoyote ispokuwa umeifuta, wala kaburi lililonyanyuliwa ispokuwa umelisawazisha".
Sahihi - Imepokelewa na Imamu Muslim

نْ جَابِرٍ (رضي الله عنه) قَالَ: نَهَى رَسُولُ اللَّهِ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ أَنْ يُجَصَّصَ الْقَبْرُ وَأَنْ يُقْعَدَ عَلَيْهِ وَأَنْ يُبْنَى عَلَيْهِ. مسلم

Imepokelewa kutoka kwa Jaabir (Radhwiya Allaahu 'anhu) amesema: Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amekataza kaburi kutiwa chokaa (liwe imara), kuketiwa juu yake na kujengewa. [Muslim]
 
Hili swali nalileta kwa waumini wa pande zote Waisilamu na wakristo,ili tulijadili kwa pamoja ni halali au hairusiwi kujengea makaburi?
Kuandika majina ya marehemu,tarehe walizozariwa na tarehe za siku waliyokufa?
Ndio ni halali.
 
Muongozo wa mtume Muhammad ni QUR'AN
Mtume Muhammad Swalla Allahu Alayhi Wa Sallam, ameteremshiwa Qur-an na wahyi mwengine pia. Kuna wahyi nje ya Qur-an aliletewa Mtume ili aifafanue Qur'an na kuwafikishia watu. Na huwezi kusema unaifuata Qur-an ukaikataa Sunnah, wahyi mwengine alioletewa Mtume.

Soma aya zifuatazo za Qur'an, tafsiri ya maana yake ikiwa kama ifuatavyo;

Allah revealed to you the Book and
the Hikmah and He taught you what you knew not, and great is the Grace of Allah unto you”. (Al-Nisā 4:113)

“Solemnly recall Allah’s favour on you, and the fact that He sent down to you the Book and
the Hikmah for your instruction…” (2:231)

“He is it He Who has sent among the unlettered ones, a Messenger
from among themselves, reciting to them His verses, purifying them, and teaching them the Book and
the Hikmah. And verily, they had been
before in manifest error”. (62:2)

Rejea pia Qur-an 2:129, 2:151, 3:164 na 33:34.

Qur-an na Sunnah ni muongozo. Vyote ni vyanzo vya Shari'ah.

Mtume ameifafanua Qur'an kwa watu kama alivyoamrishwa;

Tafsiri ya maana ya aya;

“And We revealed to you the Reminder so that you may explain to the people what was revealed to them.” [Surah An-Nahl: 44]

Na huo ufafanuzi nao ni wahyi kutoka kwa Allah. Hayakuwa matamanio ya nafsi yake Mtume.

Tafsiri ya maana ya aya;

16. Move not your tongue concerning (the Qur’an, O Muhammad ) to make haste therewith.

17. It is for Us to collect it and to give you (O Muhammad ) the ability to recite it (the Qur’an),

18. And when We have recited it to you [O Muhammad through Jibrael (Gabriel)], then follow you its (the Qur’an’s) recital.

19. Then it is for Us (Allah) to make it clear to you, (75:16-19)

Rejea pia Quran 4:113 na 2:231. Kwa kutaja kwa uchache tu.

Na Allah ametoa ahadi ya kuihifadhi Qur'an (15:9) ahadi hii imeenea kwa explanation yake pia ambayo ni Sunnah. Na ndio maana Sunnah nayo imehifadhiwa.
 
Hikma inayotajwa hapo ni Qur'an yenyewe,hikma ipo ndani ya hizo Aya husika siyo kitabu kingine,wahy mwingine, Allah hakuna pahala kasema mtume ana wahy mwingine zaidi ya Qur'an
36:2
And the Quran,the wisdom
3:58
These are the revelations that we recite to you,providing the reminder the wisdom
36:2 and the Quran full of wisdom
43:4
It's preserved with us in the original master, honorable and full of wisdom
Ama kwa upande wa nabii Isa QUR'AN inatuambia
3:48
He'll teach him the scripture,and the wisdom and the Torah and the gospel
Hapa haimaanishi nabii Isa alikua na kitabu kinaitwa hikma Bali injili na hivyo vingine alivyofundishwa
Ama kwa nabii Musa
2:53
Recall that we gave Moses scripture and statute book,that you may be guided
Haimaanishi nabii Musa alipewa vitabu viwili Bali kimoja
Kuna Aya mtume aliharamisha Jambo kutaka radhi za wakeze,Allah akamkosoa,ikiwa alikua akiharamisha na kuhalalisha na akiongea wahyi,mbona alipishana na Allah!?
 
Mimi binafsi sioni tatizo katika hilo, nimejengea kaburi la Baba, mama na mdogo angu.

Na kila wakati nafika pale kuzungumza nao maana naamini nafsi zao zinaishi pamoja nami.

Tatizo kubwa Waafrika tulipoteza asili yetu na kukumbatia asili ya wazungu/ waarabu kwa mwamvuli wa Dini.
 
Qur'an haikukataza kujengea kaburi,wakati wa mtume hapakua na utaratibu wa kujengea makaburi...mtume kutofanya Jambo haimaanishi haramu,kwa sharia ya kiislam kitu hakiwi Haram mpaka kiharamishwe na mamlaka(Mungu/Qur'an)
Hacha kunywa viloba
 
Back
Top Bottom