Ni halali kula samaki siku ya ijumaa kuu..

Ni halali kula samaki siku ya ijumaa kuu..

Tairus

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2013
Posts
676
Reaction score
1,056
Naombeni kujua wadau hii imekaaje maana wakristu tunaambiwa tusile nyama siku ya ijumaa kuu.

Kuna samaki nimepika jana apa sasa nikimuacha ataharibika maana sina fridge.

Msaada wa haraka unahitajika though nimeshasema namla.
 
We kulaa tu mkuu...hana shida kabisa,,hvyo visheria vimewekwa na watu kama wewe tu,mimi nachoma mbuzi leo
 
Mimi nilikuwa najua wale Baniani tu ndio hawali nyama kumbe ya wakristo huwa hamuli nyama siku ya leo. aiseee
 
KKKT sisi hatuna shida.. wakatoliki ndio imani yao.. ila hata kwa wakatoliki naowajua samaki huwa wanakula
 
Back
Top Bottom