Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We kulaa tu mkuu...hana shida kabisa,,hvyo visheria vimewekwa na watu kama wewe tu,mimi nachoma mbuzi leoNaombeni kujua wadau hii imekaaje maana wakristu tunaambiwa tusile nyama siku ya ijumaa kuu.
Kuna samaki nimepika jana apa sasa nikimuacha ataharibika maana sina fridge.
Msaada wa haraka unahitajika though nimeshasema namla.
Ahaa wewe tena mke wa mvuviWe mkule tuu kama hujafunga
EwaaaaaAhaa wewe tena mke wa mvuvi
Ahaa kesho hakuna mualiko? au nisubir jumapil?Ewaaaaa
Ingekuwa ni kesho ningemsaidia kumla!!
Jumapili karibu saaaana!! Ila usisahau kuja na familia yako!!Ahaa kesho hakuna mualiko? au nisubir jumapil?
usile nyama siku ya ijumaa na siku nyingine zilizo katazwa .ni amri ya kanisa..kwa katoliki labda uko kwenu madhehebu mengine ndo hadi ufungeWe mkule tuu kama hujafunga
Yeye kasema samaki mkuu!!usile nyama siku ya ijumaa na siku nyingine zilizo katazwa .ni amri ya kanisa..kwa katoliki labda uko kwenu madhehebu mengine ndo hadi ufunge
Ur my familyJumapili karibu saaaana!! Ila usisahau kuja na familia yako!!
oooh nimeelewa .usinisahau na Mimi kwenye ufalme wako wa pilau jumapiliYeye kasema samaki mkuu!!
Hata bila hivyo wanamla kitimoto kama kawaKula bwana.
Mbona waislamu wanakula.
Na hata kitimoto waislam wameambiwa kama anakaribia kufa kwa njaa na kitimoto kipo akigonge
WowUr my family
Karibu saaaana mkuuoooh nimeelewa .usinisahau na Mimi kwenye ufalme wako wa pilau jumapili
U didn't expect?