Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

shalet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
3,430
Reaction score
3,547
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,

Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa

Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.

je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
 
Maongezi ya kutafutia ucngz haya. Emb nikuulize, maana umenizindua, litaka kucnzia.
Ukishabikiri nini kinafuatia? Acha hiyo mahari 2ml. Watu wanajenga mahekalu kuhonga ama kwa lugha nyingine 'kuboresha penzi' huwa wanawajengea mabikira kuwatolea shukrani, ama ninini kinawasukuma kuangukia?
Af wewe wa wapi?
Pwani penyewe kwenye msemo wa 'harusi imesema' huwa unachezwa mchezo pale hata mtu ashazaa, harusi husema! Hata huyo mchumbaako akitaka hata kesho unambikiri.
Hivi wewe mbumbumbu wa mapenzi, ukioa bikra ndiyo hatakusaliti akawa wa kwako daima dumu? Ama ukitoboa unapata raha gani labda?
 
Maneno matupu hayavunji mfupa, ugumu wa maisha uko pallepale, ngoja tusikilize hiyo kesho kama kuna jipya.
 
Maongezi ya kutafutia ucngz haya. Emb nikuulize, maana umenizindua, litaka kucnzia.
Ukishabikiri nini kinafuatia? Acha hiyo mahari 2ml. Watu wanajenga mahekalu kuhonga ama kwa lugha nyingine 'kuboresha penzi' huwa wanawajengea mabikira kuwatolea shukrani, ama ninini kinawasukuma kuangukia?
Af wewe wa wapi?
Pwani penyewe kwenye msemo wa 'harusi imesema' huwa unachezwa mchezo pale hata mtu ashazaa, harusi husema! Hata huyo mchumbaako akitaka hata kesho unambikiri.
Hivi wewe mbumbumbu wa mapenzi, ukioa bikra ndiyo hatakusaliti akawa wa kwako daima dumu? Ama ukitoboa unapata raha gani labda?
mkuu hujui thamani ya bikra wewe
 
Kama ni screpa unamuoa wa nn???
Chuchu 12 o'clock hata "leba" hajachungulia utasemaje screpa kisa naniliu? Halafu msiwe wabinafsi na wabaguzi ktk ku- "rank" mapenzi.
Sasa "harusi ikisema" kwa mama mtumzima 50+ utasema new na siyo screpa? Muwe wakweli mnapowaza kutoka miiyoni mwenu.
 
Inaonesha pia hata maana ya mahari hujui,

Endelea kuitafuta bikra ili ukatoe ml.10.
 
Back
Top Bottom