Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

Ni halali kulipa mahari kwa mwanamke ambaye sio bikra?

mahari ni zawadi kwa wazazi kwa kumtunza binti..

sasa binti hajatunzika.. kuna haja gani ya kutoa mahari... sio utunzaji hewa huuu..

mtu ambaye sio bikra analipiwa mahari akiwa baby mama tayari.. ambayo ni zawadi kwa heshima ya mwanao
 
Bikra ni baraka maana iliwekwa na Bwana mwenyewe ili kuja kutolewa na mme wa ndoa kama ishara ya kuweka agano kati ya mme na mke. kule kanda ya ziwa baadhi ya makabila unaongeza ng'ombe mmoja kama pongezi kwa wazazi iwapo umemkuta mkeo ana Bikra.
 
Wengi wameolewa na machenza ndoa zao wameshindwa uzitunza. Na wangapi wameolewa wan chungwa na mpk ss
asa ndoa zao zinadunda?
 
labda mim mshamba au sjui ni hulka ila mpaka umri huu sjajua umuhimu wa bikra when it comes to sex naona kama nakua mwalimu wa darasa la kwanza naanza kufundisha a e i o u...
tunatofautiana mkuu ila maadili ya jamii na dini zote yanasisitiza binti kujitunza.
 
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,

Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa

Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.

je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
Kwa akili yako ndogo unadhani pesa inathaminishwa kwa utu na malezi ya binti wa watu?
 
Wanawake msimsikilize huyu,kuwa na bikra siku hz ni ushamba,utaibiwa mno mume na wajanja ambao hawana bikira zote mbili(ya tigo na voda)
 
Wakuu pokeeni salamu zangu,
Mahari kama inavyochukuliwa na jamii nishukrani kwa wazee kwa ajili ya kumtunza binti, kwa hali ya sasa ilivyo ni vigumu kupata binti aliyejitunza mpaka siku ya ndoa hivyo kuondoa dhana nzima ya kutoa mahari,

Mimi kwa binafsi yangu nimeapa sitoi mahari kwa binti ambaye sio bikra labda anipe mwenyewe nikatoe kwao ila mfukoni kwangu never hata mchumba wangu wa sasa anajua sina mpango wa kumtolea mahari kila akinigusia namwambia sijajiandaa

Nilipeleleza kwao ni kama 2million wanahitaji na alikua tayari kuchanga 1million ila namsubirisha namwambia nina mipango mingine ya kujiendeleza kielimu na kujenga nataka mpaka atoe yote mwenyewe yaani nichukue scrapper for 2m ya nini yote hiyo.

je, mdau unaona ni halali kulipishwa mamilioni kwa ajili ya mwanamke asiye bikra?
Mwamke "hujamuoa" utajuaje kama ana bikra au la? Na kama umembikiri mwenyewe kabla ya kumuoa utakapokuwa unamlipia mahari "atakuwa bado bikra"?
 
Kwa kweli siafiki kabisa mahari kwa mtu asiye bikra, unalipa vipi kitu ambacho hakina ubora wake.

Dhana ya mahari kwa zama za kale ilikuwa na maana kubwa sana na haviendani na kile kinachofanywa kwa sasa.
Sasa mtani wangu, wanaume wenyewe (baadhi yenu) ndio mnavirubuni hivi vibinti mnavichangamsha kabla ya umri, halafu nyinyi ndio mnasema si halali kutoa mahari kwa binti asiye bikra.
Mahari ina vipengele (kwa wale wanaotoza kimila) kuna kipengele cha "Zawadi ya mama kumtunza binti) I kikataeni hicho kipengele kama binti sio bikra, mtoe hiyo nyingine. Maana kuishia kulalamika haitasaidia. Ni maoni tu mtani.
 
Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa. (Scriptures)
Nina mashaka na kiwango cha elimu au uelewa wa mleta mada.
Kwanini binadamu tupo so selfish? Binti ajitunze wewe ujichapie, Hao uliotoa waolewe na nan??

Mwanamke bikira sitaki. Akitokea "God knwos" Ila ntaoa hawa hawa tulionao huku uswazi.
 
Sasa mtani wangu, wanaume wenyewe (baadhi yenu) ndio mnavirubuni hivi vibinti mnavichangamsha kabla ya umri, halafu nyinyi ndio mnasema si halali kutoa mahari kwa binti asiye bikra.
Mahari ina vipengele (kwa wale wanaotoza kimila) kuna kipengele cha "Zawadi ya mama kumtunza binti) I kikataeni hicho kipengele kama binti sio bikra, mtoe hiyo nyingine. Maana kuishia kulalamika haitasaidia. Ni maoni tu mtani.
Zamani wakati tunaoa[emoji12] ile jioni baada ya sherehe kitandani walikuwa wanatandika shuka jeupe na kuwapa maharusi uwanja na kusubiri shuka lichafukwe na damu then asubuhi wanaonyesha hadhara matokeo.

Ile kitu naipenda sana mtani as inaonyesha maana ya mtu kutoa ng'ombe 50 au hata milioni kumi. Tusiwasingizie watoto wetu kwa kukosa nidhamu, makosa mengi tunafanya sisi wazazi.
 
Maongezi ya kutafutia ucngz haya. Emb nikuulize, maana umenizindua, litaka kucnzia.
Ukishabikiri nini kinafuatia? Acha hiyo mahari 2ml. Watu wanajenga mahekalu kuhonga ama kwa lugha nyingine 'kuboresha penzi' huwa wanawajengea mabikira kuwatolea shukrani, ama ninini kinawasukuma kuangukia?
Af wewe wa wapi?
Pwani penyewe kwenye msemo wa 'harusi imesema' huwa unachezwa mchezo pale hata mtu ashazaa, harusi husema! Hata huyo mchumbaako akitaka hata kesho unambikiri.
Hivi wewe mbumbumbu wa mapenzi, ukioa bikra ndiyo hatakusaliti akawa wa kwako daima dumu? Ama ukitoboa unapata raha gani labda?
Haya ni mashambulizi sio jibu mkuu!! ebu mjibu tafadhari.
 
Ila mimi kwa maoni yangu ni kwamba Tanzania tunavaa mitumba, tunaendesha magari mitumba, tunafunga mashine mitumba viwandani kwetu na vyote hivi hatuvipati bure tunalipia. Hivyo basi mkuu kalipie tu kwakuwa uko Tanzania ukienda nchi zinazotumia vipya tuu ibua hii hoja yako ni nzuri sana mkuu ila si kwa Tanzania yetu.
 
Back
Top Bottom