Freedom ya aina gani? Unaweza kutoa mifano?Wanawake wengi hawapendi kukaa na mama mkwe kwasababu wanakosa freedom.
Suala la kutuma pesa mimi ninafikiri anayepaswa kutumiwa pesa ya matumizi ni yule anayehusika kununua mahitaji ya nyumbani kama vyakula,sabuni n.k
Hapo hayupo kwenye mjiwakeMkuu huo ni uchanga katika ndoa! Fahamu katika ndoa Mme na Mke wanamilki cho chote pamoja hata kama Mme ndiye anatafuta.
Mama au Baba hawana sehemu kabisa katika mali au fedha ya Mme na Mke!
Wazazi wanapewa msaada tu.
Kwa hiyo hapo Mme anatakiwa kumtumia fedha mkewe kwa ajili ya matumizi yake binafsi anapokuwa mjamzito siyo Mama.
Pili katika ndoa,Mme na Mke lazima waaaminiane siyo kuchungana au kutuhumiana.
Bila kuzingatia hayo ndoa kama kama hizo huwa hazidumu.
Mkuu hata mimi sijasema tusiwapende Wazazi wetu! Lazima tuwaheshimu na kuwasaidia kadri tunavyoweza! Bado ni wajibu wetu kufanya hivyo!Hapo hayupo kwenye mjiwake
Sijasema asitumiwe ila atumiwe za matumiz yake binafsi diapers,vocha na mambo mengine sio chakula mama amuulize mkwewe na ni mgeni
Kuna vitu vinahitaji uungwana tu wazaziwako ni Mungu wako wa pili ndio wamekuzaa na kukulea vitu vidogo kma hivo sio vya kutolea macho
Wanawake wawili hawawezi kuishi pamojaMkeo mchoyo mchoyo
Kumshirikisha Iko sawa,Mkuu hata mimi sijasema tusiwapende Wazazi wetu! Lazima tuwaheshimu na kuwasaidia kadri tunavyoweza! Bado ni wajibu wetu kufanya hivyo!
Lakini fahamu mbele za Mungu ukishaoa wewe na mke ni Mwili mmoja! Mnaachana na wazazi,(Mwanzo2:21-24)
Cho chote unachofanya,unachopanga lazima umshirikishe Mkeo bila kimficha hasa hasa fedha.
Mali au fedha unayotafuta ni ya kwako na Mkeo SIYO YA WAZAZI.
Wewe ndo umeongea s la maana watumiwe wote Kwa chakula ielewek ni ya chakula na anaehusika ni mama mwenye nyumba yeye ndo anajua tembele linapatikana wapiSo wife akitamani chipsi mpaka amuombe mama mkwe? Mimi mara nyingi huwa nawatumia wote. Ila nawawaweka wazi matumizi. Mfano laki moja hiyo ni manunuzi ya mahitaji muhimu kama chakula Sabuni n.k. hiyo elfu hamsini ni ya Mambo yako binafsi.
Nilimtumia wife namuambia kabisa hiyo yako hiyo ya mahitaji ya nyumbani. Jitahisi kuwa muwazi unapotuma pesa
Duh!! Kumbe unawazaga hivo? Pole yako.Mtumie mkeo mama mpe tu hela kidogo ya mahitaji yake.
Mwelezee mama yako sasa asijisimbue sana mahitaji yote atafanya mkwe wake.
All in all ni kashesh
Anatumiwa kiasi kwa matumizi yake,sana sana labda kama akiba itakayolipwa hospitalini. Lakini kwamba anachotumiwa hakitoshi,hapo hamna mke. Anatakiwa awe chini ya uangalizi wa wazazi.Tumia akili. Mama ni mama na mama ndio mwenye nyumba hapo kwenu na mahitaji yote ni juu yake sio mkeo. Hivyo ni sahihi kumtumia pesa mama yako. Huyo mkeo kama ana shida nyingine binafsi zaidi ya huduma za hapo kwenu then itakuwa sawa kumtumia pesa yeye kama yeye.
Dah La mwisho Ila siyo kwa umuhimuUmekosea kumpelaeka mke kwa wazazi wako. Wanawake wawili hawawezi kuishi pamoja.
Kosa lingine ni kumtumia mama yako hela ili anunue mahitaji ya mke wako. Hiyo ni kumuinyesha dharau mke wako.
La mwisho ila siyo kwa umuhimu, Vijana wenzangu kama bado unajiona uchumi wako haujaeleweka usioe.
Siku ukioa utaelewa. Kwa sasa wakuache kama unavofikilia,pia ni haki.Dah La mwisho Ila siyo kwa umuhimu
Vijana wenzangu Kama bado unajiona uchumi wako haujaeleweka usioe.
May God bless you Restless Hustler huo mstari wa mwisho ni mstari ambao kwenye vikao vya wanaume umewekwa mbele kwenye kurasa ya DIBAJI Ila wanatokea wasaliti wachache wanatusaliti yakiwakuta wanakuja kulia na kuomba ushauri ilihali walianza wao usaliti .
Jamani vijana NDOA NI HELA SIO NGONO .
na wewe mleta mada acha Mara moja kutuma hela ya matumizi kwa mama yako mtumie mkeo alafu mama yako mtumie hela ya Mara moja moja ,kuendelea kumpa mama yako hela ya matumizi ni sawa na kuwa wewe haujaoa ,acha hizo
We kuwa muazi humuogopi mtu. Mama amepokea mzigo si mkwe wala mjamzito.Nyie na wake zenu ndio mnazidi kufanya ndoa zionekane ngumu sana..
We mpe za mahutaji yake za chakula mpe mama. Kaka angu alikua anampa ela mkewe hatoi na anaamka anasubiri mama amlishe washenzi wale wamenifanya nihisi namna mama mkwe anavojiskia ... sitaweza kumfanya mama wa watu hivyo wallah! Akinipa ela ya mahitaji yangu ya chakula ampe mama ake jamani wamama wanajiskia vibaya hawasemagi tu