Ni halali Mume kuleta watoto wa nje ya ndoa katika ndoa yake/familia yake?

Au mwanamke ukamuoa ukijua anamtoto basi watoto hao hutowaita watoto wa nje ya Ndoa.
Sejaelewa nifafanulie.
Yani mimi nikute binti ana mtoto tayari alimpata kwa uzinzi, amezaa na mwanaume mwingine ,
Unaaanisha kuwa mimi nikimuoa ni wa ndoa yangu mimi na mke wangu huyo?? Au vipi hapo.
Na kwa Wanawake pia akimkuta na mwanaume wake pia.
NAOMBA NIFAFANULIE KIDOGO.
 

Post inajieleza Vizuri Mkuu.
Soma Kwa utulivu
 
Post inajieleza Vizuri Mkuu.
Soma Kwa utulivu
Inaeleweka ila sijajua unamaanisha nini.
Yani binti kazaa na kidume kingine kwa uzinzi. Jamaa katelekeza mtoto.
Mimi nimetoka huko nimeuoa.
Nilivyoelewa mimi ni kwamba huyo mtoto wa mke wangu aliyetelekezwa Anakuwa wangu ndani ya ndoa yangu.
Kwa hio atabadilika na kuwa mtoto wa ndoa yangu.
Hata kama sio wangu.
Sasa hii how.
Kivipi sijaelewa umeitoa wapi kaka.
 
Mkuu maisha yamebadilika Sana zamani maisha hayakiwa ya Sasa ivi na ukizaa hao watoto dazeni uwe na kipato Cha uwakika bila ivyo utawatesa hao watoto Zama za kila mtoto ana bahati yake imebaki story

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwani hao mama zetu na kuzaa kwao watoto dozen ndo waliwazuia wazee wetu wasizae nje?Mi kwa experience naona ni maamuzi na tabia tu za mwanaume..mfano mama yangu mkubwa kazaa watoto 9 yet mumewe akaenda kuzaa watoto wengine 8 na mwanamke mwingine na hapo alizaa before mtoto 1,baba yangu na mama yangu wametuzaa 4 na mpaka anafariki mzee hatujasikia km kuna wa nje hadi leo hii ni 10 yrs..
Besides kuzaa ni maamuzi ya wote mke na mume usigeneralize wanawake hawapendi watoto wengi maisha nayo yametight ada mnalalamika ziko juu,ila baada ya muda mnaanza kutafuta michepuko na kuizalisha.Maisha hayanaga formula
 
Swali gani hilo mtoa mada??sasa watoto waende wapi??
 
Nimekusoma mwanzo mpaka mwisho…

Swali, je mtoto aliyezaliwa na mwanaume asiye na ndoa hii ikoje.

Kuna kaka yangu anaishi kinyumba na mwanamke na ana watoto 3 hawajafunga ndoa kanisani, msikitini wala bomani na tayari amezaa na mwanamke mwingine mtoto 1. Hii imekaaje? Robert Heriel Mtibeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…