Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara..
Hakuna uchawi hpo ndgu amegundua tu namna nzuri ya kula na kipofu na kutokuifurahia hiyo hali ni km vile unataka kushtuka lkn akili inakuambia "haapanaaaaaa" inmkojani'svoice
 
Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara...
Wewe ni mpumbavu na katili sana. Kweli kuna wanawake wanapitia maisha magumu sana in the name of marriage. Ndugu huoni hata aibu kuandika ushuzi kama huu?

Kama humfurahii mkeo achana naye kuliko kutaka aendelee kuumia kwa upumbavu wako. Wewe ukifanyiwa hayo mambo ya kuumiza utafurahi?

Kwa vyovyote vile utakuwa ni fukara fulani ndo maana unapata muda wa kufanya ushenzi. Binafsi naungana na kina dada wanaowakataa maskini ili kuepusha ushenzi kama huu wako.
 
Wewe ni mpumbavu na katili sana. Kweli kuna wanawake wanapitia maisha magumu sana in the name of marriage. Ndugu huoni hata aibu kuandika ushuzi kama huu?...
Polepole! Ameleta uzi tu.Yawezekana anataka ajionee responses kama hii ya kwako.Halafu,ufukara au utajiri vina mahusiano gani kwani kwenye huba?
 
Mashtue shtue kidogo mapenzi yanakuwa na furaha kila siku kama mpo mbinguni bhana
 
Mwanamke akishakutenda mabaya Ile hamu ya treatment ya Queen and an Angel huwa inasepa kidogo kidogo na hatimaye unamchukulia kama mwamba mwenzako πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Pole sana kwako , mkeo hajakufanyia makosa yoyote mpende sana utakuja kunishukuru baadae
 

Shauri yake
Ngoja Zamu yake ya kupigwa matukio ifike
 
Kama mkeo kawa bonge hadi umepoteza mvuto kwake mwambie ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…