Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

Ni hali ya kawaida mwanaume kupenda kumuona mkewe akilia lia kila mara

Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara..
Hakuna uchawi hpo ndgu amegundua tu namna nzuri ya kula na kipofu na kutokuifurahia hiyo hali ni km vile unataka kushtuka lkn akili inakuambia "haapanaaaaaa" inmkojani'svoice
 
Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara...
Wewe ni mpumbavu na katili sana. Kweli kuna wanawake wanapitia maisha magumu sana in the name of marriage. Ndugu huoni hata aibu kuandika ushuzi kama huu?

Kama humfurahii mkeo achana naye kuliko kutaka aendelee kuumia kwa upumbavu wako. Wewe ukifanyiwa hayo mambo ya kuumiza utafurahi?

Kwa vyovyote vile utakuwa ni fukara fulani ndo maana unapata muda wa kufanya ushenzi. Binafsi naungana na kina dada wanaowakataa maskini ili kuepusha ushenzi kama huu wako.
 
Wewe ni mpumbavu na katili sana. Kweli kuna wanawake wanapitia maisha magumu sana in the name of marriage. Ndugu huoni hata aibu kuandika ushuzi kama huu?...
Polepole! Ameleta uzi tu.Yawezekana anataka ajionee responses kama hii ya kwako.Halafu,ufukara au utajiri vina mahusiano gani kwani kwenye huba?
 
Mashtue shtue kidogo mapenzi yanakuwa na furaha kila siku kama mpo mbinguni bhana
 
Mwanamke akishakutenda mabaya Ile hamu ya treatment ya Queen and an Angel huwa inasepa kidogo kidogo na hatimaye unamchukulia kama mwamba mwenzako 😅😅😅

Pole sana kwako , mkeo hajakufanyia makosa yoyote mpende sana utakuja kunishukuru baadae
 
Mwanamke akishakutenda mabaya Ile hamu ya treatment ya Queen and an Angel huwa inasepa kidogo kidogo na hatimaye unamchukulia kama mwamba mwenzako [emoji28][emoji28][emoji28]

Pole sana kwako , mkeo hajakufanyia makosa yoyote mpende sana utakuja kunishukuru baadae

Shauri yake
Ngoja Zamu yake ya kupigwa matukio ifike
 
Waswahili wanasema mficha maradhi kifo humuumbua.Kuna kipindi hapo nyuma nilimpiga mke wangu vimatukio tukio akawa mtu wa kulia na kutoa machozi kila Mara

Mbaya zaidi ameanza kuneneepa kufikia hatua ya ndani ya miezi miwili mitatu naye aanze kuitwa bonge

Niwe muwazi wife wangu si mtu wa kukunja kunja sana uso au kunununa nuna kama walivyo wanawake wengine kwahiyo baada Mimi kupunguza vile vimatukio vya kumkwaza na kumcheat furaha yake imerudi kama ilivyo kuwa mwanzo.

Amekuwa ni mtu wa kucheka hata kwa vitu visivyochekesha,kunipiga makiss ovyo na kunupamba pamba kila Mara.

Sasa sijui ndio nimepata na hali gani,eti najikuta simfurahii kabisa wife wangu kama nilivyokuwa nikimfeel kipindi kile alipokuwa mtu wa machozi mseleleko & kukondeana kwa mawazo.

Na ninahisi hali hii ikiendelea naweza kufikia hatua hata ya kumrudisha kijijini kwao aende tu akakate mkaa maana hamna jinsi.

Sasa kwa warume wenzangu mlioko kwenye ndoa muda mrefu je hii hali na nyie ilishawahi kuwatokea au ni maradhi yangu peke yangu.

Kingine je hapa uchawi haujahusika kunifanya niwe katika hii hali
Kama mkeo kawa bonge hadi umepoteza mvuto kwake mwambie ukweli
 
Back
Top Bottom