Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
LabdaTumpe Tundu Antipas Lisu Uenyekiti
Mbowe miaka 20 yatosha!
Mkuu hakuna kazi ngumu kama kuwatetea Watanzania maana hata watanzania wengi wao hawana habari na wala hawaoni kama shida zao zinasababishwa na mipango mibovu ya serikali.Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?
Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.
Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Kwamba Mbowe anajali tumbo, kwa hiyo wanasiasa wa ccm huwa wanajali makalio yao?Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?
Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.
Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Yaezekana Mbowe anastahili kupumzika, but mbona hujaainisha sababu na evidence ya haya madai yako? Umeongea kichuki zaid ya facts!! Tafadhali mwanaccm kindakindaki tupe facts.Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?
Tozo, ufisadi, umeme kukatika hovyo na wizi wa mali za umma iiuweze kudhibitiwa unahitaji viongozi wenye nia thabiti na madhubuti.
Sio matapeli wa kisiasa kwenye karne kama hii. Wanaodhani siasa ni ulaghai ili kulinda matumbo yao.
Ni ngumu Mbowe kumpisha Lissu.Tumpe Tundu Antipas Lisu Uenyekiti
Mbowe miaka 20 yatosha!
Wapinzani halisi tulishamkataaNi ngumu Mbowe kumpisha Lissu.
Nimeanza kuamini kuwa Mbowe ni zaidi tumjuavyo.
Najua Lissu anatambua kuwa tayri yuko cha kike lkn hana namna.
Kuna wenye akili za kuunga kwa superglue hawataelewa lkn Mbowe ni jasusi atauua upinzani polepole
Sema sura yakeNaona wanaokupinga wamesoma title na kutoelewa main content,but mie napingana na hoja ya kwamba mbowe au chadema ni mkombozi jibu kuwa hapana,ukwel jamaa ni selfish ukiwaangalia hata sura zao.
Ukweli amefanya kazi kubwa, hilo halitoshi tunatakiwa kukamilisha misheni.Wapinzani halisi tulishamkataa
Unaweza kuwa ni uvccm lkn kuna ka ukweli sasa Mbowe apumzikeWapinzani halisi tulishamkataa
Ungekuwa ww ndio mwenyekiti wa chadema ungefanya nini?Kwa nini mtu usig'atuke na kupisha watu wenye nia thabiti ya kuwakomboa Watanzania?