Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
- Thread starter
- #41
PumbavuSasa unataka uwe na watu kama Lissu ambao hawatumii akili katika kufanya mambo? Muulize mtalaka wa Lissu atakufahamisha vema. Mbowe ni mmachame swafi anajua kwenda na upepo. Mwacheajipigie mpunga.
Wachaga wapo swafi siunaona Dkt Shoo alichowafanyie TEC kwenye sekeseke la bandari hadi TEC wakaonekana kama kinyesi? Wachagga wapo kifursa zaidi.